Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22424 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUNDERLAND YA UINGEREZA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KWAO

 Mkurugenzi wa Biashara wa Timu ya Sunderland ya nchini Uingereza Gary Hutchinson(kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam  juu ya timu hiyo kuanzisha ushirikiano na Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Mzee wa kata ya Didia . Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kwenye ujenzi wa Birika la kunyweshea mifugo katika kata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM ABULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE SHINYANGA...

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye wakishiriki katika ujenzi wa Birika la Kunyweshea mifugo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISHAPU WASEMA WAO NI CCM TU INATOSHA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi waliofika kumpokea kwenye wilaya ya Kishapu katika eneo la Maganzo ambapo Katibu Mkuu alikuwa na ziara katika wilaya ya Kishapu. Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA YALETA NEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA WILAYA YA KISHAPU

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasaidia kuwatwisha ndoo ya maji wakina mama wa kijiji cha Mwigumbi wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA : NEEMA IMEWAJIA WAKAZI WA SHINYANGA

 Sehemu ya msafara wa Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiingia Shinyanga Mjini. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofurika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AITEKA SHINYANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa vibanda vya biashara katika uwanja wa Kambarage huku akishuhudiwa na Balozi wa China nchini Dr.Lu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHENZI WAZIDI KUTIA HOFU ZANZIBAR, WAMMWAGIA TINDIKALI PADRI AKITOKA KWENYE...

 Padri Anselmo Mwang'amba akiwa kitandani kwenye wodi ya Mapinduzi Mpya, hospitali ya Mnazi mmoja mjini Zanzibar, Padri Mwang'amba alimwagiwa tindi kali, Padri Anselmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWATEMBELEA WALIOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYANGA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa pole Nassoro Rashid Tinde mmiliki wa duka la vipuri vya magari Tinde Store lililotekea kwa moto jana usiku,Shinyanga. Katibu Mokuu wa CCM Ndugu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MASWA MKOA WA SIMIYU KWA KUTEMBELEA MASHINA

 Wakazi wa kijiji cha Wigelekelo kata ya Masela wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye mkoa huo ikiwa sehemu ya ziara yake inayoanza leo wilaya ya Maswa mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA WA POLISI MSTAAFU MKOA WA TANGA AFARIKI DUNIA

TANGA, TanzaniaKAMANDA wa Polisi mstaafu wa Mkoa wa Tanga, Feith Amour (61) amefariki dunia mjini hapa baada ya kuugua maradhi ya shinikizo la damu.      Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Juma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA: MRADI WA UMEME VIJIJINI KUINUFAISHA MASWA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na kijana Ally Emmanuel mkazi wa Maswa mkoani Simiyu ambaye Katibu Mkuu ameahidi kumsomesha kwenye chuo cha ufundi Veta. Katibu Mkuu Ndugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAYARISHAJI MKUU WA THE NKOROMO BLOG ANA KWA ANA NA PROF LIPUMBA, MBOWE NA...

"KAMA NI HIVYO, MUUNGANO WENU HUU WA VYAMA KATIKA HILI HAUTAKUWA PIA NA WALAKINI?" Mtayarishaji Mkuu na Mmiliki wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo (kulia) akiwauliza viongozi wa vyama vitatu vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA : WATENDAJI FIKISHENI TAARIFA KWA WAKATI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimuinua mtoto juu ambaye alikuja kwenye mapokezi wakati wakiwasili wilaya ya Meatu. Katibu Mkuu wa CCM Taifa  ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki zoezi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU AZINDUA TAWI CALIFORNIA MAREKANI

Mhe. Mwigulu Nchemba akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la CCM Oakland California kulikofanyika Jumamosi Sept 14, 2013 na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wakereketwa wa chama cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA: MAWAZIRI SHUGHULIKIENI KERO ZA WANANCHI MOJA KWA MOJA

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wakazi wa kata ya Mwandoya ,kijiji cha Mandoya tarafa ya Kisesa ambapo Katibu Mkuu alipata maelezo ya utekelezaji wa ilani ya CCM. Katibu...

View Article

CHADEMA YAWEWESEKA

CHADEMA WAWEWESEKA!  ~.Ni baada ya Kinana kupeleka neema ya wakulima wa pamba(soko na bei).~. Ujenzi wa viwanda Shinyanga wawapa homa~. Ajira kwa vijana kuwakosesha Chadema waandamanaji.~. Waishia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAWAPIGA SEMINA WAENDESHAJI BLOG NA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII...

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma, akifungua semina ya siku mbili ya kuwaongezea umahiri Waendeshaji wa Blogu na mitandao mingine ya Kijamii, leo Makao Makuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKOMAA NA MAWAZIRI

Sasa kuongozana na Mawaziri mguu kwa mguuAsema kazi yake ya kuijenga chama inahitaji watu makini kama mtu hawezi kasi yake awapishe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikaribishwa kwa kahawa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO, SEPTEMBA 18, 2013

©2013 Bashir Nkoromo

View Article
Browsing all 22424 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>