SIXTUS ARIPOTI RASMI LEO MAKAO MAKUU YA UVCCM, DAR
Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda (wapili kushoto) akiwasalimia baadhi ya watumishi wa makao makuu ya Jumuia hiyo, jijini Dar es Salaam, alipowasili kuripoti rasmi...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA NDG. STEPHEN S. SHILATU
Ilikuwa dakika, saa, mwezi na sasa ni miaka 10 kamili tangu alyekuwa Baba wa Marehemu John Stephano Shilatu, Mzee STEPHANO SHIGEMELO SHILATU wa Kisesa Mwanza atutoke ghafla duniani mnamo tarehe...
View ArticleKINANA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akimkaribisha Balozi wa Sudan hapa nchini, Dk. Yassir Mohamed Ali,kabla ya mazungumzo naye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM TAIFA KUFANYA ZIARA KATIKA MIKOA YA SHINYANGA,MARA NA SIMIYU
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahaman Kinana septemba 10 anatarajiwa kuanza ziara ya kawaida katika mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara. Ziara hiyo itaanzia katika mkoa wa Shinyanga...
View ArticleSHIGELA NA SIXTUS WAFANYA MAKABIDHIANO RASMI YA OFISI LEO
KATIBU Mkuu mstaafu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Martine Shigela (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu mpya wa UVCCM, Sixtus Mapunda, faili wakati wa makabidhiano ya Ofisi, waliyofanya leo, Makao...
View ArticleNAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA IRINGA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio za Bendera. Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza...
View ArticleJAHAZI MODERN TAARAB ILIVYOFUNIKA DAR LIVE
Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki walifurika Dar Live. Mashabiki wakiwa wamembeba juujuu mlemavu ambaye alipagawa na burudani za Jahazi. Khadija Yusuf akijinafasi stejini. Jukwaa likiwa juu wakati...
View ArticleKUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII
MKURUGENZI wa Msama Auction Mart, Alex Msama akifafanua jambo jijini Dar es Salaam, leo, kuhusu kukamatwa kwa wafanyabiashara haramu kumi wa kazi za wasanii pamoja na mashine zao za kudurufu katika CD...
View ArticleASSAD AKANA ALITUMIA SILAHA ZA KEMIKALI
Rais Bashar al Assad wa Syria amekanusha kuwa alihusika na shambulio kwa silaha za kemikali mjini Damascus mwezi uliopita.Akihojiwa na televisheni ya Marekani, CBS, Bwana Assad alisema ikiwa serikali...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJINI MWANZA
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza na miji ya jirani katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo jioni.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi kukagua...
View ArticleKINANA, NAPE KUTINGA SHINYANGA KESHO SAA 3 ASUBUHI
Ndugu KinanaSHINYANGA, TanzaniaKATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kesho Jumanne, ataanza ziara ya siku nne mkoani Shinyanga kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM na...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEGA, APOKEA PIKIPIKI 9 KUTOKA...
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye ukiwasili katika mji wa Nzega Katika wilaya hiyo Tayari kwa kuanza...
View ArticleWANA CCM WALIVYOPENDEZA NZEGA
Wapenzi na wanachama wa CCM wakiwa wamependeza na ubunifu wa kutoka kicha Zaidi wakati wa kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama aliyesimama Nzega kabla ya kuendelea na ziara ya mkoa wa Shinyanga.
View ArticleCCM YAITEKA KAHAMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kishepu Ndugu Isabela Chilumba wakati wa mapokezi yake katika kata ya Isaka.Wakazi wa Isaka wakiwasikiliza...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali pamoja na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa tanki la maji katika kata ya Kagongwa Wilayani Kahama wakati...
View ArticleKINANA AWAPASHA WAWEKEZAJI
*Awataka kutoa michango ya maendeleo kwa jamii inayowazungukaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wawekezaji nchi kujenga tabia ya kutoa michango ya maendeleo kwenye...
View ArticleDIWANI WA TLP AMSIFIA KINANA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa pamoja na diwani wa TLP Ntabo Majabi kata ya MwendaKulima wakati wa uzinduzi wa jengo la kituo cha afya kilichodhaminiwa na mgodi wa Buzwagi kulia ni...
View ArticleNAPE:CHADEMA WAMEPEWA MABILIONI TOKA NJE KUVURUGA MCHAKATO WA KATIBA.
Umati wa wakazi wa wilaya ya Kahama Mjini ukmsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye alipokuwa akihutubia kwenye viwanja vya CDT mjini Kahama . Adai ndio chanzo cha kupigana bungeni...
View ArticleMSAFARA WA KATIBU MKUU WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,Mbunge wa Jimbo la Swola ndugu Ahmed Salum na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakicheza na nyoka aina ya chatu wakati wa mapokezi katika kata...
View ArticleMAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU
Bibi Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013.Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri...
View Article