Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE...

 Waziri wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa mchango wake katika Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA TANTRADE LEO

 Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WATEMBELEA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA MeTL SABASABA

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa.Na Mwandishi WetuWATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FACEBOOK KUZINDULIWA JIJINI DAR AGOSTI 3,WAKAZI WA MWANZA WAJIANDAE AGOSTI 10...

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI AANZA KUSAIDIA WADAU, AKABIDHI VITANDA 167 KWA SHULE SABA JIMBONI...

 Mbunge wa Chalinze, mkoa wa Pwani, Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete, akijaribu kimoja kati ya vitanda 267, kabla ya kuvigawa kwa shule saba za jimboni Chalinze, katika hafla iliyofanyika jana, kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAFURAHI KUMUONA RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA NAO KWENYE MAONESHO YA...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiagana na Rais wa Malawi, Profesa Arthur Peter Mutharika, baada ya shughuli za maadhimisho ya Sherehe ya miaka 50 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI

Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JERRY SILAA AIFAGILIA METL GROUP KWA KUKUZA UCHUMI NA KUONGEZA AJIRA KWA WAZAWA

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akiwasili kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya...

View Article

AFRIDOCS FILM WEEK 21-27 JULY 2014

AfriDocs Film Week 21-27 July 2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMU LALIPUKA KWENYE MGAHAWA ARUSHA

Na Arusha 255 blog  Hali ya usalama imezidi kuwa tete katika Jiji la Arusha kufuatia mfululizo wa matukio ya raia kujeruhiwa kwa kinachoaminiwa kuwa mabomu ya kurusha kwa mkono baada ya jana usiku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI ATUA TANZANIA KUSAKA KURA, AKUTANA NA MAMA MARIA...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimlaki Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO, Filipe Nyusi alipowasili leo jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI KWA TIKETI YA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mgombea wa Urais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi kwenye hotel ya Golden Tulip ambapo alikuwa na mazungumzo naye . Katibu wa NEC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAPANI YASAIDIA WAKIMBIZI TANZANIA

Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano  ili kuzungumza na watanzania waishio Reading...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KWA TIKETI YA FRELIMO AKUTANA NA RAIS KIKWETE,...

 Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Ukombozi cha FRELIMO Filipe Nyusi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Ndogo mjini Tanga, mgombea huyo alipokwenda kumsalimia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AKAGUA MRADI UJENZI WA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU MKINGA...

Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg. Felix Maagi Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA WA URAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA ZANZIBAR,AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE...

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akimkaribisha Mheshimiwa Filipe Nyusi Mgombea wa nafasi ya Urais kutoka chama cha FRELIMO Msumbiji Wanachama wa FRELIMO wanaoishi Zanzibar...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live


Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>