MAMA SALMA KIKWETE AMLAKI MALKIA NOMSA WA SWAZILAND
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana...
View ArticleMAGUFULI AVUNA WANACHAMA WAPYA 376 CHATO
Mbunge wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kujiunga na chama hicho mara baada ya Mbunge...
View ArticleRAIS KIKWETE AMLILIA NG'WANAKILALA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleBREAKING NEWZZZ!: BALOZI MDOGO WA LIBYA NCHINI TANZANIA AJIUA
TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba balozi mdogo wa Libya nchini Tanzania , Bwana Ismail Nwairat amejiua ofisini kwake.Taarifa za awali zinasema Balozi huyo alijifungia ofsini kwake na...
View ArticleDK BILAL AUHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA BURUNDI
Rais wa Burundi Mhe. P. Nkurunziza akikagua gwaride rasmi kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyika Julai 1-2014 katika uwanja wa Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura...
View ArticleUN YAZIDI KUNG'AA MAONYESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA "MACHAPISHO KWA UMMA"
Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya banda lao na nyuso za bashasha baada ya kunyakua tuzo ya Machapisho kwa Umma (Mass Media na Publicity) kwa mara ya...
View ArticleSERIKALI YATHIBITISHA KIFO CHA BALOZI WA LIBYA
Msemaji wa Serikali hapa nchini Assa Mwambene amekiri kutokea kwa kifo cha Balozi Msaidizi wa Libya nchini bwana Ismail Nwairat kwa kujipiga risasi mwenyewe majira ya saa saba usiku katika chumba cha...
View ArticleMAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE MAONYESHO YA SABASABA!
Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa...
View ArticleTBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR
Meneja wa Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo , akifurahia tuzo ya udhamini kwa upande wa vinjwaji katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa baada kuipokea kutoka kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA MABALOZI WA OMAN...
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Oman nchini Tanzania, Saoud Ali Mohammed Al-Ruqaish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI PROFESA ANNA TIBAIJUKA ASIFU KAZI INAYOFANYWA NA SHIRIKA LA...
Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felic Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AONANA NA MWANA MFALME WA JAPAN PRINCE AKISHINO NA MKEWE PRINCES...
Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha...
View ArticleMKOA WA DODOMA WASHEREHEKEA KUANZA KWA UJENZI WA MRADI WA BARABARA YA DODOMA...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa nne kutoka kushoto) akiwaongoza wadau waliofika kuadhimisha sherehe za kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati...
View ArticleDHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBENKI NA YA KIFEDHA
Pichani ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya maonyesho ya biashara ya Kimataifa ya 38 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwal.Julius Nyerere jijini Dar,Bi. Upendo Tendewa akifafanua zaidi huduma...
View ArticleRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MSIKITI WA MASJIDIL HUDA CHAMAZI...
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliojengwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Said Salim Bakhresa katika eneo la Uwanja wa...
View ArticleSEHEMU YA BARABARA YA KAWAWA KUFUNGWA LEO NA KESHO KUPISHA UJENZI
DAR ES SALAAM, Tanzania Mkandarasi mkuu wa ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka, Strabag International GmbH imetangaza kufungwa kwa muda kipande cha makutano ya Kawawa na barabara ya Kinondoni...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA WAONGEZA VIWANGO VYA POSHO ZA WALINZI WA AMANI
Na Mwandishi Maalum, NEW YORKBaada ya vuta ni kuvute ya muda mrefu na majadiliano makali baina ya nchi zinazotoa walinzi wa Amani ( TCC) na zile zinazochangia raslimali fedha, hatimaye siku...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WANNE, AKUTANA NA WAZIRI...
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Malaysia nchini Tanzania Mheshimiwa Ismail Salem. Baada ya kupokea rasmi hati hizo Rais Dkt. Kikwete alifanya...
View ArticleKINANA NDANI YA GYM YA UWANJA WA AZAM COMPLEX, CHAMANZI
''VIONGOZI CCM TUPO IMARA"' Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akijaribu kufanya zoezi katika moja ya mashine kwenye Gym ya timu ya Aazam FC, kwenye Uwanja wa Chamazi Complex, wakati...
View Article