TAMASHA LA "NAIAMINIA-TANZANIA" DODOMA
Mkongwe wa Mziki wa Bongo Fleva afande Sele akibadilishana Mawazo na Diamond Platnum "Sukari ya Warembo" Millard Ayo akipata Ukodak na Mwasiti mkali wa "Mpaito" Jukwaa la Wasanii wakiimba Hellow...
View ArticleVIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA WATAKIWA KUSHIKAMANA
Mbunge wa Jimbo la Ludewa Ndugu Deo Filikunjombe akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha Semina ya Siku 5 ya Mafunzo kwa viongozi hao wa CCM iliyofanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleBALOZI SEIF IDD ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit...
View ArticleNAPE ALITEKA JIMBO LA UBUNGO ENEO LA KIMARA LEO
*ASEMA CHADEMA SASA INAKUMBATIA UKAWA KUJARIBU KUPOZA MIGOGORO YA NDANI INAYOKIMALIZA.*ATABIRI MAISHA YA CHADEMA KUKOMA BAADA YA AJENDA YA KATIBA MPYA KUMALIZIKA*ASEMA, 'PANGO' LA MYIKA UBUNGO...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA NCHI ZA G77 NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokewa na wenyeji wake wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bolivia juzi Juni 13, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria...
View ArticleHACKERS WAIBA AKAUNTI YA FACEBOOK YA MEYA WA ILALA JERRY SILAA
Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.Tafadhali puuzia...
View ArticleMAHOJIANO YA KWANZA PRODUCTION NA FABIAN LWAMBA WA KRYSTAAL
Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akimhoji Fabian Lwamba wa kundi la KRYSTAALKaribu kwenye mahojiano kati ya Kwanza Production na Fabian LwambaMmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao...
View ArticleSAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014
Na MOblog, ZanzibarMOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na...
View ArticleBUNGE VS NMB-DODOMA WALIVYOTOANA JASHO(MPIRA WA MIGUU NA MPIRA WA PETE)
Makombe yapotayari kwaajili ya Kukabidhiwa kwa Mshindi Upande wa Mpira wa pete na Mpira wa Miguu kati ya Wafanyakazi wa NMB DODOMA na timu za Bunge za Pete na Mpira wa Miguu. Mh:Lukuvi akiwa benchi la...
View ArticleUN KUZINDUA MFUMO MPYA WA KUHABARISHA UMMA NDANI YA TAMASHA LA ZIFF 2014...
Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa...
View ArticleHAKIKISHENI TUNAKUWA NA CHAKULA CHA KUTOSHA DKT. BILAL AWAAMBIA G77+CHINA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya nchi za G77 na China, uliofanyika jijini Santa Cruz, Bolivia...
View ArticleZIARA YA NHC NA WAKURUGENZI WA BODI SINGAPORE
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea mji wa Bunggol wenye nyumba za wananchi (social housing...
View ArticleMAHOJIANO YA MOJA KWA MOJA NA MSANII ANNA MWALAGHO KUHUSU TAMASHA LIJALO
Anna Mwalagho. Photo Credits Anna Mwalagho Facebook page Karibu katika mahojiano mafupi na ya moja kwa moja kati ya msanii Anna Mwalagho na Kwanza Production kwenye kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi Juni...
View ArticleCHAP CHAP 'JIPIGE MWENYEWE'
Dear Friends, an interesting week at Nafasi with Film, Exhibition, Photo competition and a Chap Chap SelfieToday 17 June Filamu Lounge -19.30 Swahili movie NETWORK– with answering questions after...
View ArticleUSILIKOSE COCKTAIL PARTY HILI LA MAANA MJINI
Tiketi zinapatikana- Beauty Point- Mayfair Plaza, Seki land of fashion- opposite Shoppers Plaza, Bang! Magazine office- Mikocheni B- opposite East Africa International school. Kiki shop Oysterbay,...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA OFISI YA TEWO SACCOS-TEMEKE
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua jiwe la msingi la ujenzi jengo la ofisi ya TEWO-Saccos kwa kufungua kitambaa katika sherehe iliyofanyika wilayani Temeke tarehe 17.6.2014. Kushoto kwa Mama...
View Article