KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI BI. DIANNA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha kwa furaha, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo June 9,...
View ArticleRAIS KIKWETE AHANI MISIBA YA KANALI MSTAAFU ALI MWANAKATWE, MCHEKESHAJI SAIDI...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi...
View ArticleBALOZI MPYA WA MAREKANI AJITAMBULISHA KWA MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib, akimkaribisha Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzani, Mark Childres, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,...
View ArticleDK. ASHA-ROSE MIGIRO ATINGA KWA KISHINDO OFISI ZA UMOJA WA MATAIFA NCHINI...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon akiwa na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja huo, ambaye sasa ni Waziri wa Sheria na Katiba wa Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro (Mb), Walipokutana Makao...
View ArticleINDIAN FOOD FESTIVAL
Food is an integral part of the Indian culture and Thanks to the multitude of its flavors and aroma, its popularity is quickly increasing.The Second Indian Food Festival will be held on 2Sunday 2 June...
View ArticleJUMUIYA YA WAZAZI (CCM) WILAYA YA ILALA WAIPONGEZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA...
Wajumbe wa Jumuiya ya wazazi wakipata maelezo ya umuhimu wa matumizi sahihi ya taarifa za hali ya hewa kwa sekta ya kilimo na mifugo kutoka kwa Meneja huduma za hali ya hewa- kilimo Bw. Isack Yonah...
View ArticleTWAWEZA YATUNUKU TUZO WAANDISHI 37 KWA MAONI YAO KUHUSU KUBORESHA UTOAJI...
DAR ES SALAAM, TanzaniaTwaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa...
View ArticleDK. ASHA-ROSE: HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA WA SHERIA NI MUHIMU KWA MAENDELEO
Na Mwandishi Maalum, New YorkWaziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro( Mb) amesema, ajenda za maendeleo endelevu baada ya 2015 zijielekeze zaidi katika kuyawezesha makundi ya...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI...
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.Na Mwandishi wetuWANAFUNZI wa shule za Msingi nchini,...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA AHAMIA CCM IRINGA
Mwenyekiti wa Chadema katika kata ya Ihimbo Jimbo la Kilolo, Iringa Vijijini,Seleman Kiponda akikabidhi kadi ya Chadema kwa Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga, baada ya kutangaza kuhamia CCM...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA MANAIBU BALOZI WAWILI
UTEUZI WA NAIBU MABALOZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Naibu Mabalozi wawili.Walioteuliwa ni Bw. Robert Kahendaguza anayekuwa Naibu Balozi,...
View ArticleSOKO LA MACHINGA KARUME LATEKETEA KWA MOTO
Soko Maarufu la Mitumba Karume jijini Dare es Salaam limetekea kwa moto ambao mpaka sasa haujajulikana chanzo chake. Moto huo ambao unasemekana ulianzia majira ya jana usiku saa tatu umeteketeza mali...
View ArticleWAZIRI: TUWAEPUSHE VIJANA WETU NA UHAFIDHINA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akifunguza majadiliano kuhusu mazingira yanayochangia kuendenea kwa vitendo vya kigaidi. majadiliano hayo yamefanyika siku ya Jumatano yakitangulia...
View ArticleNHC YAVUTIA WAWEKEZAJI MAONYESHO YA NYUMBA DUBAI, KAMPUNI KUBWA ZAVUTIWA...
Dubai, United Arab EmiratesKatika kile kinachoonekana ni hatua kubwa katika kuelekea kutengeneza fursa kwenye sekta ya uendelezaji wa makazi, Shirika la Nyumba la Taifa limeweka historia kwenye soko la...
View ArticleMTEMVU ATOA MISAADA YA VIFAA VYA MICHEZO NA FEDHA KWA MIRADI YA MAENDELEO YA...
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (AM) akimkabidhi jezi kwa Mwenyekiti wa Umoj wa Umoja wa Vijana wa CCM Kata ya Kilakala Hashim Swedi (wapili kulia), alipotoa jozi nane za jezi hizo na mipira minane...
View ArticleNYUMBA YATEKETEA KWA MOTO USIKU HUU, MWANANYALA A, DAR ES SALAAM
Pilika za kujaribu kuzimamoto zikifanyika, baada ya nyumba moja kushika moto mida ya saa 3. 30 usiku huu, eneo la mtaa wa Mchangani, CCM, Karibu na Kituo cha Polisi cha Mwinjuma, Mwananyamala A.Kwa...
View ArticleMINING COMPANIES ARE NOT TAX CHEATS
Chairman, Tanzania Chamber of Minerals and Energy, Ami Mpungwe (Photo by Library).Press Statememnt Mining Companies Not Tax Cheats Ami b by moblog
View ArticleSHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA
Jukwaa litakalotumika kwa masuala ya burudani kuanzia leo Juni 14 hadi 22 ndani ya Ngome Kongwe katika ukumbi wa Mambo Club linavyoonekana muda huu kwenye hatua ya mwisho kuelekea ufunguzi rasmi saa...
View ArticleDEO FILIKUNJOMBE AANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa inayohusu masuala ya kuimarisha Chama na Utekelezaji wa Ilani...
View Article