TUME YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA WAPIGA KURA LITAKALOTUMIKA KATIKA...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akisoma taarifa ya tume mbele ya waandishi wa habari inayohusu ufafanuzi kuhusu daftari la kudumu la wapiga kura litakalotumika...
View ArticleKAZIDI AMNADI RIDHIWANI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMPENI CHALINZE
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg....
View ArticleMKE WA DK. SLAA ANASWA KWA TUHUMA ZA KUGAWA RUSHWA KWA WAPIGAKURA KALENGA
Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Rose Kamili, ambaye pia ni mke wa Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod Slaa, akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa kwa madai ya kukutwa akigawa rushwa kwa...
View ArticleCCM YAWEKA HISTORIA KALENGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Kalenga kupitia CCM Ndugu Godfrey Mgimwa wakati wa mkutano wa mwisho wa kampeni uliofanyika Kidamali leo tarehe 15 Machi...
View ArticleCCM YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO KALENGA
Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM...
View ArticleWANANCHI WA KALENGA WAPIGA KURA LEO
Wananchi wakiwa kwenye kituo cha kupiga kura cha Kalenga A leo wakati wa upigaji kura, katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini. Yosefa Cosmas akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku...
View ArticleCCM YAONGOZA KATA 11 KATI YA 13 UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
Mashabiki wa CCM wakimbeba aliyekuwa mgombea wa CCM jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini Godfrey Mgimwa, baada ya kupata matokeo ya awali ya CCM kuongoza kata 11 kati ya kata zote13 katika matokeo ya...
View ArticleMATANDAO WA UMEME NCHINI HADI MACH 2014
Takwimu zinaonyesha kwamba kwa sasa asilimia 36% (kutoka asilimia 10% ya mwaka 2005) Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme...
View ArticleMTANDAO WA UMEME NCHINI HADI MACHI 2014
Takwimu zinaonyesha kwamba kwa sasa asilimia 36% (kutoka asilimia 10% ya mwaka 2005) Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme...
View ArticleMPIGAPICHA WA MAGAZETI YA CHAMA BASHIR NKOROMO APATA TUZO YA UPIGAPICHA BORA...
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili Mtambalike akimkabidhi zawadi ya king'amuzi cha DSTv na cheti kwa mshindi wa pili katika tuzo ya Mpigapicha Bora Tanzania, Bashir...
View ArticleKATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AMVAA MKUU WA KITUO CHA POLISI
Na Flora Kamaghe, IringaKatibu wa chama cha mapinduzi mkoa wa iringa Hassani Mtenga amempa mda wa wiki moja Mkuu wa Kituo cha polisi mkoani Iringa Siphaeli Pyuza kumuomba radhi kwa kitendo cha...
View ArticleKINANA AKUTANA NA MJUMBE WA FRELIMO
Katibu Mkuu wa CCM, Kanali Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa...
View ArticleMAANDLIZI YA MKUTANO WA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UBUNGE CCM JIMBO CHALINZE...
Maandalizi ya mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za Ubunge kupitia CCM jimbo la Chalinze yaendelea vizuri ambapo jioni ya leo Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuhutubia...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE, KINANA, MAMA SALMA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete wakipunga mikono baada ya kuwsili kwenye Uwanja wa Miembe saba, kwa ajili ya mkutano...
View ArticleCCM INA IMANI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI
CCM bado inaamini katika Muundo wa Serikali mbiliCCM ina amini Muungano huu muhimu unadumishwa na kuimarishwaMuundo tulionao uboreshweTutangulize mbele Uzalendo na maslahi ya kweli ya nchi yetu. Katibu...
View ArticleKADA WA CCM SHINYANGA AFARIKI DUNIA
Na Chibura Makorongo, ShinyangaCHAMA Cha Mapinduzi (CCMI mkoani Shinyanga kimepata pigo baada ya kuondokewa na mmoja wa makada wake maarufu ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa CCM katika kata ya...
View Article