IKULU YAKANUSHA HABARI ZA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KIKWETE KUMTEMBELEA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili –...
View ArticleSWAGA ZA LEO KWENYE MKUTANO WA TOSAMAGANGA NA KALENGA
Mwananchi akiwa amepaki baiskeli yake yenye bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika kitongoji cha Tosamaganga wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Godfery Mgimwa....
View ArticleMGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO
Godfrey Mgimwa akihutubia wakazi wa kitongoji chaTosamaganga ambapo aliwaeleza wazi wananchi hao kuwa anaelewa changamoto zaona atashirikiana na wananchi hao kutatua hizo changamoto.Mwenyekiti wa CCM...
View ArticleTANZANIA BADO KUNA UPUNGUFU WA MAJAJI:JAJI RUTAKANGWA
Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini...
View ArticleKAMATI KUU CCM YARIDHIA RIDHIWANI KIKWETE KUGOMBEA CHALINZE, KAMPENI...
DODOMA,TanzaniaKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na...
View ArticleMANGULA ATOA SOMO KWA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CCM JIMBO LA KALENGA
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akionyesha mfano wa karatasi la kupiga kura kwa wanachama wa CCM wanaoishi kwenye kitongoji cha Ulete,Kijiji cha Muwimbi mkoani Iringa . Mgombea wa...
View ArticleSITTA ACHUKUA FOMU KUWANIA UENYEKITI BUNGE LA KATIBA
Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega Hamisi...
View ArticleBAN KI MOON AWACHAGIZA WANAWAKE KUENDELEA KUTETEA FURSA SAWA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akifungua mkutano wa 58 wa Kamisheni kuhusu Hali ya Wanawake ( CSW) Mkutano huu wa wiki mbili unafanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, na...
View ArticleWAANDISHI WANAWAKE WANAFANYA KAZI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU-UTAFITI
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova, ( kati kati) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu Teknolojia ya habari na mawasiliano na mchango wa vyombo huru vya habari katika kuwawezesha wanawake na...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VUAMA VYA SIASA VINAVYOSHIRIKI UCHAGUZI...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akishauriana jambo na jopo la wajumbe wa tume hiyo, wakati wakisubiri kuzungumza na wawakilishi wa vyama vinavyoshiriki...
View ArticleCHADEMA WAUMBUKA IRINGA, WASHINDWA KUONYESHA SHERIA INAYOWARUHUSU KULINDA...
Na Bashir Nkoromo, Iringa WAWAKILISHI wa Chadema wakiongozwa na Mratibu wa Kampeni za chama hicho katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Benson Kigaiya leo wameumbuka baada ya kushindwa kuonyesha...
View ArticleTAHADARI YA MVUA KUBWA / HEAVY RAINFALL KATIKA BAADHI YA MAENEO YA NCHI...
TAHADHARI YA MVUA KUBWAWARNING 13-03-2014
View ArticlePINGAMIZI DHIDI YA MGOMBEA WA CHADEMA CHALINZE
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE .FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUFDHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSIA LEO...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014...
View ArticleMEGA TRADE WATOA MSAADA KWA WALIOKUMBWA NA MAAFA WILAYA YA HAI-KILIMANJARO
Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya...
View ArticleCCM YAZIDI KUCHANJA MBUGA KAMPENI ZAKE JIMBO LA KALENGA
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa akisalimiana na vijana na wananchi kwa jumla baada ya kuwasili leo katika kijiji cha Elandutwa, katika jimbo hilo, Iringa...
View ArticleRAIS KUMWAPISHA LEO YAHYA KHAMIS HAMAD KUWA KATIBU WA BUNGE LAAMU LA KATIBA,...
DODOMA, TanzaniaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo asubuhi, Ijumaa, Machi 14, atamwapisha Katibu wa Baraza la Wawakilishi Bwana Yahya Khamis Hamad kuwa Katibu...
View ArticlePOLISI: HELKOPTA MARUFUKU KWENYE ANGA LA KALENGA SIKU YA UCHAGUZI, WALIOTUMWA...
Kamanda Mungi akizungumza leoNa Bashir Nkoromo, IringaJESHI la Polisi, limepiga marufuku chama chochote kurusha helkopta kwenye anga la jimbo la Kalenga, na limeahidi kushughulikia kikamilifu kundi au...
View ArticleKINANA AINGIA KWA KISHINDO KALENGA LEO, AMNADI MGIMWA KWA MAMIA YA WANANCHI...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi katika Kijiji cha...
View Article