PSPF YAWAPIGA MSASA WANAHABARI DAR, WENGI WAVUTIWA WAJIUNGA NA MFUKO HUO
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akiaga baada ya kumalizika kwa semina aliyowaandalia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu utendaji wa mfuko huo pamoja na...
View ArticleMEMBE: SERIKALI KUENDELEA KUSAIDIA KUSIMAMIA MASUALA YA AMANI BARANMI AFRIKA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu masulala mbalimbali ya uhusiano wa kimataifa ikiwamo hatua zinazochukuliwa na...
View ArticleZIARA YA MZEE MANGULA CHINA
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akisalimiana na Kada wa CCM, Suleiman Serera ambaye ni miongoni mwa makada walimlaki Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing, China, juzi Msafara wa Mzee...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA KANDA...
Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika...
View ArticleSALMA MOSHA: BALOZI ZINA NAFASI KUBWA YA KUTANGAZA UTAMADUNI WA TANZANIA...
NA MWANDISHI MAALUM, USAMsanii mkongwe wa kuchezea nyoka, Salima Moshi, amesema Balozi zina nafasi nzuri za kuutangaza utamaduni wa Tanzania nje ya nchi kwa kuwa wapo karibu na nchi husika.Amesema...
View ArticleSHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM MAREKANI KUFANYIKA LEO JUMAPILI
NA MWANDISHI MAALUM NEW YORKCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la DMV zitafanyika Sherehe za Miaka 37 ya CCM leo, Jumapili, Feb 23, 2014 kwa shamrashamra, hoi hoi na vikolombwezo kibao.Taarifa iliyotolewa...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara...
View ArticleAFTER PARTY YA LADY IN RED ILIVYOFANA
Kaki ya After Party ya Onyesho laLady in Red iliyoandaliwa maalum kwa kuwashukuru wadau kibao waliofanikisha sherehe za miaka kumi yaLady in Rednchini. Picha zaidi za Paty hiyo BOFYA HAPA
View ArticleWANAFUNZI WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WATEMBELEA TBL DAR
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kutengeneza bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii...
View ArticleWAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE...
Mwenyekiti wa Tancraft, Elihaika Mrema akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa jumuiya kubwa za wafanyabiashara na pamoja na serikali kuwaunga mkono wajasirimali wanawake nchini, Kushoto ni...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AWANG'OA VIGOGO IDARA YA WANYAMAPORI
Dar es Salaam, TanzaniaWaziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu leo ametangaza kuwang'oa viongogo wa ngazi ya juu katika Idara ya wanyamapori akieleza kuwa ni kutokana na kutoridhishwa na...
View ArticleMISAADA KWA YATIMA NA MAPACHA WANNE YAFIKA SALAMA MBEYA
Aida Nakawala (25) mkazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi...
View ArticleMTEMVU ACHANGIA VIKOBA TEMEKE
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (aliyevaa miwani) akilakiwa na wanachama wa Masdhine ya Maji Vicoba alipowasili kwa ajili ya sherehe ya kuitunisha mfuko wa Vicoba hiyo iliyopo Temeke, Dar es...
View ArticleTANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA
Na Mwandishi Maalum, New YorkJamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema, posho ya dola 1.28 kwa siku wanayolipwa walinzi wa amani wanaohudumu katika Misheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa,...
View ArticleNAPE : CCM IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiangalia matembezi ya mshikamano wakati yakiingia uwanjani kabla hajaanza kuhutubia wakazi wa Shinyanga mjini. Wakazi wa Shinyanga mjini wakiwa na Furaha...
View ArticleMASELE AWAWEZESHA WAKINA MAMA LISHE SHINYANGA
Mbunge wa Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na...
View ArticleCCM YAPIGA KIPYENGA KALENGA; MWIGULU AMNADI MGOMBEA WA CCM ADAI DK. SLAA ANA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa, alipozindua rasmi kampeni za CCM jioni hii katika mapnei za CCM...
View ArticleRAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika...
View Article