Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Phillip Mangula  leo imewahoji watu watatu ambao wawili walishawahi kuwa Mawaziri Wakuu katika Serikali ya Jamhuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JANUARY MAKAMBA AHOJIWA KAMATI YA MAADILI

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Naibu Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MAADILI YAMHOJI WASSIRA MJINI DODOMA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE

Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIC YASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI NA WAKUU WA MIKOA YA KANDA...

 Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki wakati alipotembelea Banda la Kituo hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAENDELEA LEO KWA SIKU YA PILI JIJINI...

 Mwenyekiti wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama (liesimama) akitoa muongozo wa namna vikao vitakavyokuwa vinaendelea kufanyika katika kumbi mbali mbali ndani ya Hoteli ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ALIPOREJE NYUMBANI JANA AKITOKEA LONDON

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea London Uingereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABMILLER AFRICA/TBL ZAISADIA ACE AFRICA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI ARUMERU

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  Robin Goetzche (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 64,000, Mwasisi na Mkurugenzi wa Taasisi ya ACE Africa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAKAYA AZINDUA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILI NA UCHUMI TANZANIA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu kitabu baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA)  akiwa na mwasisi wake  Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AWAPA RUNGU CCM, AWATAKA KUACHA UNYONGE DHIDI YA VURUGU ZA CHADEMA WAKATI...

NA BASHIR NKOROMOMWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amewapa rungu wana-CCM akiwataka  kuacha kujifanya wanyonge dhidi ya vitendo vya fujo ambavyo hufanyiwa na  Chadema nyakati za uchaguzi.Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

 Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014.Waziri wa Mambo ya Nje...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA YAENDELEA LEO

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa NEC wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC ambacho kinaendelea leo mjini Dodoma , kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Dk....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ASUKIWA MIKAKATI YA KUMHUJUMU KISIASA

Ni kutokana na msimamo wake dhidhi ya wakiuka maadili katika CCMKinanaNA MWANDISHI WETU, DodomaWAKATI Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekamilisha kazi ya kuwahoji baadhi ya viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM KUBAKI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza kuwa Kikao cha NEC kilikamilika vizuri ambapo wajumbe waliijadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YATOA ADHABU YA ONYO KALI KWA WANAOJITANGAZA KUWANIA URAIS KABLA YA WAKATI

Nape akionyesha akizungumza na waandishi leo, DarNA BASHIR NKOROMOChama Cha Mapinduzi (CCM) kimewapa adhabu ya onyo kali makada wake sita baada kuwahoji kupitia tume yake Maadili na kuthibitika kuanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI...

Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Aj It Development  Bw Jackson Audiface akizungumzia  kuhusu Maonyesho ya Tatu ya Kazi za Vijana wajasiriamali Yatakayofanyika Mkoani Dododma Mwezi Aprili mwaka...

View Article

VIDEO YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE AKIZUNGUMZIA UNYAMA WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA TOKA UINGEREZA KWA MAMA WA MAPACHA WANNE WA MBEYA

Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne kwa mkupuo (Quadruplets) usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE: NDOTO ZANGU KABLA YA KUWA MWANASIASA NILITAMANI KUWA ASKARI WA KURUSHA...

*Azungumzia tofauti yake na wanasiasa waliopo upinzani*Asema CCM haijatelekeza wasanii *Asema nyimbo za Bongo Fleva hazidumu kwa sababu ya mashairi ya kulipua*Ni kwa sababu ya wasanii kutaka 'watoke'...

View Article

TAHADHARI YA MVUA

TAHADHARI

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>