Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA BODA BODA WA MKOA WA MBEYA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishangiliwa kwa nguvu na madereva wa pikipiki za kubebea abiria maarufu kama Boda boda wakati wa kikao na Boda boda hao kilichofanyika ukumbi wa Mtenda...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM YAIVA MBEYA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia katika shamba la Mage Kolimwa (wapili kulia), katika Kijiji cha Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya Mbeya mjini. Kinana alifika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAZIDI KUJIIMARISHA MBEYA MJINI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akigawa kadi kwa wanachma wapya waliojiunga na CCM baada ya kuzindua shina la Wakereketwa la Madereva wa Bodaboda Inyara,Iyunga mkoani Mbeya.Katibu wa NEC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YAFIKIA HATUA ZA MWISHO

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Sokoine ,ambapo alisema maandalizi yote yamekamilika ,majukwaa yamekamilika, uwanja umerekebishwa vizuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA SHEREHE ZA MIAKA 37...

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano akipunga mkono wakati akishuka kutoka kwenye ndege jioni ya leo kwenye uwanja wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya tayari kwa sherehe za kuzaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATEMBEZI YA MSHIKAMAO KUADHIMISHA MIAKA 37 YA CCM YAFANA JIJINI MBEYA

 Mweneyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto kuongoza  matembezi ya mshikamano ya miaka 37 ya CCM, yaliyofanyika leo asubuhi mjini Mbeya. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AGUSWA NA UTENDAJI WA KINANA, ATAKA AWE MFANO WA KUIGWA

Kikwete akizungumza kwenye kilele cha miaka 37 ya CCM leoNA BASHIR NKOROMO, MBEYAMWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri waliotuhumiwa na wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 37 ZA CCM LEO MJINI...

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kuwaongoza wana-CCM katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM leo  Rais Jakaya Kikwete...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika  Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho  tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA MJUMBE WA BODI TENDAJI UNDP, UNFPA NA UNOPS

Na Mwandishi Maalum, New YorkTanzania kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, imeshiriki kikamilifu katika vikao vya kawaida  vya Bodi Tendaji ya  Mashirika na Mifuko inayosimamia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MANGU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI WAFANA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wageni waalikwa kwenye sherehe za Usiku wa Wasanii na Waandishi wa Habari zilizofanyika usiku wa tarehe 2 Februari kwenye ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA HUNDI YA SHILINGI MILIONI 100 ILIYOTOLEWA...

 Rais Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 100 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei, kusaidia waathirika  wa mafuriko yaliyozikumba wilaya tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIMWA, IRINGA

 Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI MPYA WA KIEMBESAMAKI AAPISHWA

   Msafara wa Mwakilishi Mpya wa Jimbo la Kiembesamaki ukiingia katika viwanja Baraza la Wawakilishi kumshindikiza kwa ajili ya kuapishwa leo asubuhi.  Gari iliomchukuwa Mhe. Mahmoud Thabit Kombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA HABARI NA MAWASILIANO WATOA MSAADA KWA WAZEE WA KITUO CHA MWANZANGE,...

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene, Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Innocent Mungy (mwenyeshati la mistari) na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMA NKAMIA; KUTOKA UTANGAZAJI HADI NAIBU WAZIRI

Ni siku chache tangu Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amuapishe Juma Nkamia kuitumika Serikali yake katika nafasi ya Unaibu Waziri, katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, moja ya wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN NCHINI INDIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzania wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO MAALUMU CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI CHAFANYIKA DAR

 Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisoma dua kabla ya kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE ALAANI VITENDO VYA KINYAMA VINAVYOFANYWA NA UPINZANI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa wa Mwanza.Nape alisema kitendo cha wana CCM kushambuliwa ni kitendo cha kinyama na kinatakiwa...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images