RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MBUNGE WA CHALINZE LEO
Rais Jakaya Kikwete, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini...
View ArticleVIKUNDI VYA VICOBA VILIVYOPO CHINI YA POVERTY FIGHTING TANZANIA (PFT)...
*NI GARI SITA AINA YA SUZUKI CARRY, *BAJAJ KUMI, *PIKIPIKI 19 AINA YA BOXER, *PIKIPIKI YA MZIGO AINA YA TOYO, *VIFAA VYA UMEME VYA USEREMALA, *MBAO, *VIFAA VYA STATIORIES NA VIFAA VYA SHOOTING...
View ArticleSEKONDARI YA LOYOLA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE
Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo. Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya...
View ArticleDK. BILAL KATIKA HARAMBEE KUCHANGISHA FEDHA ZA UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wakati wa Ibada maalum ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Kanisa la...
View ArticleMTEMVU AKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM, KATA YA TANDIKA, AAHIDI BARABARA...
Mbunge wa Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akizungumza, wakati wa kikao chake cha ndani na Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Tandika, Januari 26, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa...
View Article96 WAMALIZA MAFUNZO KUPAMBANA NA MAJANGILI
Mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan kijazi akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya kuhifadhi maliasili katika chuo cha wanyama pori cha Mlele mkoani katavi ambao hawapo pichani hapo juzi katika chuo cha...
View ArticleSERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUSITISHA UTARATIBU WA KUKODISHA WAFANYAKAZI...
Waziri wa Kazi na Ajira Bi.Gaudentia Kabaka akitoa tamko la Serikali kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya usitishwaji wa utaratibu wa kukodisha wafanyakazi unaofanywa na baadhi ya mawakala...
View ArticleMWANDISHI WA HABARI LEO KILIMANJARO, ARONLD SWAI, MWENYEKITI MPYA UVCCM...
Arnold Swai (wa kwanza kushoto)wakati wa upigaji kura, zoezi lilofanyika juzi, wilayani Hai kuziba pengo la nafasi ya MwenyekitiMjumbe wa Halmshauri kuu CCM wilaya ya Hai, Fuya Kimbita, akizungumza...
View ArticleDK. SHEIN AMNADI RASMI MGO MBEA WA CCM JIMBO LA KIEMBESAMAKI, MAHMOUD THABIT...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana,wakati alipowasili katika...
View ArticleRAIS KIKWETE AAMRISHA JESHI KUSIMAMIA UTOAJI HUDUMA KWA WAATHIRIKA WA...
RAIS KIKWETERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameliamuru Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuanza mara moja kazi...
View ArticleREGINARLD MENGI AKUTNA NA KINANA LEO
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginarld Mengi (kushoto), Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.Picha na...
View ArticleMAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM YAPAMBAMOTO
Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Luteni Mstaafu Maganga Sengelema akifafanua jambo mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mbeya ikiwa sehemu ya maandalizi ya...
View ArticleNAPE ATEMBELEA SOKO LA SIDO MWANJELWA MJINI MBEYA KIMYA KIMYA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akicheza draft na vijana wafanyabiashara wa soko la Sido Mwanjelwa jijini Mbeya.Nape yupo mjini Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za miaka...
View ArticleMABASI YA MWENDO KASI YAANZA MAJARIBIO JIJINI DAR
Mmoja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar.
View ArticleKUELEKEA KILELE CHA MIAKA 37:CCM YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mkutano wa CCM Mkoa wa Mbeya.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akijibu...
View ArticleWAZIRI MKUCHIKA AELEZA SABABU ZA TANZANIA KUSHUKA VIWANGO VYA UTAWALA BORA...
Add captionMOSHI, TanzaniaWAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais anayeshuhulikia Utawala Bora, Kaptein mstaafu, George Mkuchika amesema migogoro ya ardhi, mauaji ya maalbino na vikongwe, wanachi kujichukulia...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, SAYANSI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar es...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR
Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri na Manaibu Waziri waliokuwa wakiapisha Ikulu Dar es Salaam, leo Jan 30, 2014 wakati alipokuwa...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI CCM (BARA) NA KATIBU MKUU WAWASILI MBEYA TAYARI KWA SHEREHE...
Makamu Mwenyekiti CCM(Bara) Ndugu Phillip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Godfrey Zambi wakati wa mapokezi kwenye ofisi za CCM Mkoa,Makamu Mwenyekiti amewasili mkoani...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA WAZIRI MKUU WA FINLAND BAADA YA KUMALIZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View Article