MAMA MAGUFULI ATOA MISAADA KWA WAGONJWA OCEAN ROAD KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA...
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road  jijini Dar es salaam  alikoenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa...
View ArticleBARABARA YA VIGWAZA-BUYUNI-MWAVI YAHARIBIKA VIBAYA/RIDHIWANI AAHIDI KUSIMAMIA...
MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akiangalia barabara kutoka Vigwaza-Mwavi iliyoharibika vibaya eneo la Buyuni hali inayosababisha magari kushindwa kupita. Mkazi wa Mwavi ,Zainab Zuberi...
View ArticleSPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA TAASISI ZA MAENDELEO SHIRIKISHI
 Spika wa Bunge Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Issifu Lampo na Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Kym McCarty (katikati),...
View ArticleDKT. NCHIMBI AMUUNGA MONO RAISI KWA KUPIGA MARUFUKU MCHANGA WA DHAHABU YA...
 Mkuu wa Mkoa wa Singida Rehema Nchimbi (pichani kushoto), amefuata nyayo za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli kwa kuzuia mchanga wa dhahabu unaopatikana mkoani hapa...
View ArticleSHIHATA ASISITIZA WELEDI NA MAADILI KWA WANAHABARI ZANZIBAR
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.KAMATI ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar  imevitaka vyombo vya Habari nchini kuendelea kutekeleza majukumu yako kwa kufuata misingi...
View ArticleKAMPUNI ZA SIMU ZAUNGANA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
Meneja wa Airtel Money kutoka kampuni ya Airtel Tanzania Moses Alphonce akitoa elimu kwa mmoja wa watumiaji wamitandano ya simu kwa namna Makampuni ya simu za mikononi nchini yameungana kwa kutoa...
View ArticleSERIKALI YAZINDUA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA HOSPITALI HAPA NCHINI
Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai , Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy na Mkuu wa wilaya ya Kongwa Bw. Deogratius Ndejembi wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KATI (STANDARD GAUGE)...
Na Mathias Canal, Dar es SalaamRais Dk. John Magufuli leo April 12, 2017 Â amezindua ujenzi wa Reli ya kati mpya na ya kisasa ya umeme (Standard Gauge) sehemu ya Dar es salaam hadi Morogoro.Uzinduzi huo...
View ArticleJESHI LA POLISI PWANI YAMSHIKILIA MSAFIRISHA WAHAMIAJI HARAMU HUKO BAGAMOYO
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Amiri Alalae (26)mkazi wa Toptop, wilaya ya Bagamoyo kwa kosa la kusafirisha wahamiaji haramu 30 raia wa nchini Ethiopia. Kamanda...
View Article
More Pages to Explore .....