MAKAMU WA RAIS AWATAKIA HERI SERENGETI BOYS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wakati wa hafla fupi ya chakula cha usiku ambapo aliwaalika kwenye makazi yake timu ya Taifa ya Vijana...
View ArticleWASANII BONGO MOVIE WATINGA KWA MAKONDA AWAKOE NA JANGA LA WIZI WA KAZI ZAO
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa na baadhi ya Watengenezaji na Wasanii wa Filamu nchini, baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake, leo. Panoja na Makonda ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
View ArticleUWT YAWAPONGEZA WABUNGE KWA UCHAGUZI, YALAANI KAULI ZA MBOWE
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unatoa pongezi kwa Wabunge wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia, kikatiba na kikanuni kufanikisha...
View ArticleDC KASESELA AWATAKA WANANCHI KUACHANA NA IMANI ZA KISHIRIKINA
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake hii leoNa Fredy Mgunda,IringaMkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amewataka wananchi wa wilaya ya iringa...
View ArticleMABODI: DHANA YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR ILIASISIWA NA HAYATI KARUME
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.CHAMA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema dhana ya kuanzishwa kwa fikra ya Umoja wa Kitaifa ilianzia kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Aman...
View ArticleNCHAMBI: WANANCHI MUWE KICHOCHEO CHA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleiman Nchambi akifungua kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Kishapu.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AZUNGUMZA NA WALIMU WA MIKOA YA PEMBA
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri mara alipowasili katika viwanja...
View ArticleMUHIMBILI YAWAJENGEA UWEZO MADAKTARI WA HOSPITALI BINAFSI NA UMMA NCHINI...
Daktari Bingwa aliyebobea katika Magonjwa ya Kinamama na Uzazi, Profesa Rafique Parkar akifanya upasuaji wa kutumia njia ya matudu madogo kwa kushirikiana na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
View ArticleRAIS AMTUMBUA MTENDAJI MKUU SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA
Rais wa John Magufuli ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Shirika Elimu Kibaha Dk. Crispin Mpemba ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali za kiutendaji zinazomkabili.Akijibu swali la...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR, HAYATI KARUME
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu...
View ArticleMVUA YALETA MADHARA NA KUSABABISHA KAYA 20 KUKOSA MAKAZI
Baadhi ya Nyumba katika eneo la Chalinze Mzee zikiwa zimearibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akiangalia madhara yaliosababishwa na mafuriko katika...
View ArticleHABARI DEVELOPMENT ASSOCIATION KUZINDUA KLABU ZA KUPIGAVITA UJANGILI TANZANIA
NA BASHIR NKOROMOTaasisi ya Waandishi wa Habari ambao ni wanaharakati wa kupinga ujangili ya Habari Development Developmnet Association (HDA) itafanya uzinduzi rasmi wa klabu za kupinga ujangili...
View Article