Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEUZI WA MAKATIBU WAPYA WA CCM WA MIKOA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO MACHI 27,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIGULU AWAASA ASKARI KUTOWABAMBIKIZIA WATU KESI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa Mikoa/VikosiMzee John Samwel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO MACHI 28,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YA UFUNGAJI MIGODI

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Juliana Pallangyo  ( kulia) na Mkuu wa Maendeleo kutoka Ubalozi wa Canada, Sue Steffen,(kushoto) akizungumza wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO MACHI 29,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE APOKELEWA OFISINI KWAKE DODOMA

 Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Elisante ole Gabriel akiteta jambo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na wakati waziri huyo alipowasili Ofisini kwake Mjini Dodoma....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOPATA UTEUZI KUPITIA CCM, ILI KUOMBA RIDHAA KWA BUNGE KUWA WABUNGE WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO MACHI 30,2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM TAWI LA MPARANGE RUFIJI APIGWA RISASI NA KUFARIKI DUNIA

Mbunge wa Rufuji Mohamed Mchengerwa.Na Mwamvua Mwinyi, IkwiririMWENYEKITI wa chama cha mapinduzi (CCM) tawi la  Mparange na mjumbe wa serikali ya kijiji cha Ikwiriri Kaskazini ,wilayani Rufiji mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA ABC TANZANIA YAFUNGUA TAWI TEGETA, DAR ES SALAAM

Na Mwandishi MaalumBenki ya ABC imeendelea kupanua wingo wake kwa kufungua tawi lake jipya eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhudumia ongezeko la idadi ya wateja katika eneo hilo, hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA: WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ANAKUJA NCHINI KESHO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuelezea dhamira ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania mapema leo katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWT YAPONGEZA UTEUZI SAWA WA CCM WAGOMBEA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI, YAWANANGA...

Dar es SalaamUmoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umekipongeza na kukishukuru Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa  uamuzi wake wa kuteua wagombea wa Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwa uwiano ulio sawa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWAITA WIZARANI WALIOFAULU USAILI WA AJIRA ZA DHARURA KUPITIA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUIWEZESHA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE

Frank Mvungi-MaelezoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepongezwa kwa kuiwezeshaTaasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kufanya upasuaji wa kihistoria tangu kuanzishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO MACHI 31, 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMBARDIER ZILIZONUNULIWA NA RAIS DK. MAGUFULI ZAINGIZA SH. BILIONI TISA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la ATCL, Bw. Lasislaus Matindi anasema wamefanikiwa kukusanya Shilingi Bilioni 9 kwa katika kipindi cha miezi minne kwa kutumia ndege hizo mbili zilizonunuliwa...

View Article


WANACCM TISA WANADAIWA KUFA MJAWA KUTOKANA NA MATUKIO YANAYOENDELEA YA MAUAJI

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniVIONGOZI na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tisa kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti, wanadaiwa kuawa kwa kupigwa risasi na wengine kuchomwa moto kutokana na matukio ya mauaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII MSIVUKE MIPAKA KATIKA UTENGENEZAJI WA KAZI ZENU KWA KUVUNJA SHERIA ZA...

Na Raymond Mushumbusi WHUSM DodomaWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa wasanii nchini kutovuka mipaka katika utengenezaji wa kazi zao mpaka kufikia hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KWA VYOMBO VYA...

  VMM/U.80/8/Vol.I59                          31/03/2017TAARIFA YA  UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI UPANGA DAR ES SALAM  IJUMAA 31 MACHI 2017Ndugu waandishi wa...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>