NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, leo, Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo...
View ArticleBALOZI WA TANZANIA NCHINI UJERUMANI, PHILIP MARMO AVISHA CHEO KANALI WA JWTZ...
Katika hali ambayo haijazoeleka na iliyoonekana kuwa ngeni, Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni Kanali.Hafla hiyo...
View ArticleMAJALIWA AWASILI MAURITIUS KUMWAKILISHA JPM KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mauritius, Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Sir Seewoosagur Ramgoolam nchini...
View ArticleWANAOTAKA UBUNGE BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUPITIA CCM WAANZA KUCHUKUA FOMU LEO
Katibu Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Daktari bingwa wa magonjwa...
View ArticleSOKO LA MBAO LIMESHUKA WILAYANI MUFINDI
Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi akiongea na Wafanyabiashara wa mazao ya misitu wilayani Mufindi juu ya malamiko yao kwa TRA mkoa wa Iringa Baadhi ya wafanyabiashara wa mazao ya misitu wilayani...
View ArticleRAIS WA BENKI YA DUNIA AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM, KUPIGA KAZI NA RAIS DK....
Dar es Salaam, TanzaniaRais wa Benki ya Dunia (WB) Dk. Jim Yong Kim, jana, amewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo leo, Jumatatu, Machi 20 2017, atakutana na Rais Dk. John...
View ArticleRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA...
Dar es SalaamRais Dk. John Magufuli, leo Machi 20, 2017 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara za juu kwenye makutano ya Barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma eneo la Ubungo Jijini Dar es...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI CHRISTINA MDEME AKUTANA NA KAMATI NDOGO YA...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mdeme akizungumza na Kamati ndogo ya Mkoa inayoratibu Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Michezo wa Kimataifa utakojengwa katika kata ya Nala, alipokutana na Kamati...
View ArticleCCM KUPOKEA UJUMBE MZITO WA CPC KUTOKA CHINA KESHO
Dar es SalaamChama Cha Mapinduzi (CCM), kesho, siku ya Jumanne, Machi 21, 2017, kitapokea Ujumbe wa Viongozi na maofisa kutoka Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambao utakuwa hapa nchini kwa ziara...
View ArticleMAKALA YA CHARLES CHARLES
Kingunge asidhani kuwa Kikwete, Mangula au Kinana 'watachafuka' kwa kuwatungia uongo Na Charles CharlesJUZI, Jumapili, mwanachama wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale - Mwiru...
View ArticleCHARLES CHARLES: HIZI NDIZO KAZI NILIZOFANYA NILIPOKUWA SINGIDA - (SEHEMU YA...
Aliyekuwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Singida Mjini, Ndugu Charles Charles (aliyesimama kushoto), akizungumza na wajasiriamali wa soko la mbogamboga (picha ya juu na chini) lililopo kata ya Mughanga...
View Article'UVAMIZI' WA MAKONDA HAUNA MAJERUHI WALA PURUKUSHANI?
Na Charles Charles Inawezekana kweli alikwenda. Lakini hii lugha ya kwamba eti "amevamia" ama "ameteka" ni kuongeza chumvi.Hivi panapovamiwa au kutekwa kunakuwa hakuna purukushani, hakuna majeruhi hata...
View ArticlePLAN INTERNATIONAL YAADHIMISHA MIAKA 80 YA KUZALIWA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Plan International limeadhimisha miaka 80 tangu kuzaliwa kwake Mwaka 1937 likiwa na lengo la kutetea na kusimamia haki za Watoto...
View ArticleCCM YAPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA LEO
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing wakati wakisubiri kupokea ujumbe wa watu 19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha...
View ArticleBALOZI MERO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero akitoa maelezo mafupi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres kabla ya kuwasilisha rasmi Hati za...
View ArticleHALMASHAURII MAMA YA RUFIJI NA YA KIBITI ZATAKIWA KUMALIZA MIGONGANO -RC NDIKILO
Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, wa pili kutoka kushoto, akizungumza na watumishi wa halmashauri ya Kibiti kwenye muendelezo wa ziara yake mkoani humo ,wa kwanza kushoto mkuu wa wilaya...
View ArticleHIVI HII 'KARIBUNI' YA MAALIM SEIF ITAFIKA LINI
Na Charles Charles Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaambia tena Wazanzibari kwamba "hivi karibuni", watasherehekea matunda ya kura zao walizopiga katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25,...
View Article