BAADA YA MIAKA 53 HATIMAYE WANANCHI WA MTAA WA IGUNGANDEMBWE MANISPAA YA...
Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akikinga maji kwenye ndoo kuashiria sasa kisima cha maji kimefunguliwa na kuanza kutumia kwa wakazi wa mtaa wa...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT.ASHATU KIJAJI AFUNGUA TAWI JIPYA LA...
Afisa Mtendaji Mkuu wa First National Bank, Dave Aitken akiongea na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji wakati wa uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Naibu...
View ArticleWASANII WALIOSHIRIKI KAMPENI 2015 (MAMA ONGEA NA MWANAO) WAPINGA UVUMI...
Msemaji wa Mama Ongea na Mwanao,Ndumbago Misayo (Thea) akizungumza na waandishi wa habari juu ya taarifa katika mitandao ya kijamii inayodai kuwa wasaanii waliozunguka na Makamu wa Rais, Samia Hassan...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIFUNGASHIO VYA POMBE KALI – VOROBA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Mamkamba. (MB) akitoa Taarifa kwa Umma kuhusu marufuku ya uzalishaji, uingizaji , usambazaji,na matumizi ya vifungashio vya...
View ArticleMAKALA: WIKI YA SHERIA NA SIKU YA SHERIA NCHINI, 2017
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akikagua gwaride maalum lililoandaliwa, ukaguzi wa gwaride hili huashiria kuanza rasmi kwa shughuli za Mahakama kwa mwaka husika.Na Mary Gwera,...
View ArticleNAIBU WAZIRI JAFO AKAGUA UJENZI WA MABWENI SHULE YA SEKONDARI MBOGA
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akizungumza katika ziara ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo,alipotembelea Shule ya Sekondari ya Mboga kukagua ujenzi unaondelea shuleni...
View ArticleJUMUIA YA WAZAZI WATAKIWA KUUUNGA MKONO SERIKALI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA...
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata mbalimbali za wilaya ya Ilala, alipokutana nao katika kikao...
View ArticleZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI KATIKA ZIARA YAKE YA...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Akizungumza na viongozi, watendaji na wanachama wa Jimbo la Rahaleo katika ziara anayofanya Mkoa wa Mjini kichama. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini Borafya...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI NA MKAPA WASALI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU LEO, JIJINI DAR...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa katika Kanisa la Mtakatifu Petro, wakati wa ibada ya Jumatano ya Majivu...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA WIKI IJAYO
Dodoma, TanzaniaMachi 8, 2017, Watanzania wataungana na nchi watanachama wa Umoja wa Mataifa, katika kuadhimiasha Siku ya Wanawake Duniani.Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,...
View ArticleMTOTO WA MAREHEMU JOHN KOMBA ATOA WIMBO KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA DAWA...
NA BASHIR NKOROMOIkiwa sasa ni takriban miaka miwili tangu aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT), Kampteni John Komba, kufariki Dunia, Mtoto wake Gerald John Komba, ameibuka na kutoa wimbo...
View ArticleMKANDAWILE: VITA YA SERIKALI DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA NI UTEKELEZAJI ILANI YA...
Na Bashir NkoromoJUMUIA ya Wazaziya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuiunga mkono Serikali, katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya ili kuwaokoa Watanzania hasa vijana katika janga linalotokana...
View ArticleMKUTANO MKUU MAALUM WA CCM TAIFA, KUFANYIKA MACHI 12, MJINI DODOMA
Na Bashir NkoromoChama Cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kufanya Mkutano wake Mkuu Maalum wa Taifa, Machi 12, 2017 mjini Dodoma.Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo,...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATOA SIKU 28 KUPATIKANA KWA MAJI SAFI NA SALAMA RUFUJI.
Rais Dkt .John Magufuli akiwa na Mbunge wa Rufuji Mohamed Mchengerwa mwenye mic.Rais Dkt .John Magufuli akiwa na Mbunge wa Rufuji Mohamed Mchengerwa mwenye mic.Rais John Magufuli, amemtaja Mbunge wa...
View ArticleRAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA VIGAE CHA GOOD...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu You qing mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Kiwanda kikubwa cha kutengeneza...
View Article