Article 3
RAIS SHEIN ATIMIZA AHADI YA KUTOA VIFAA KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI MKUU BARIADIMkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka(mwenye koti) akiangalia baadhi ya sehemu za Msikiti wa MASJID RAUDHAL mjini...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA...
 Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya ELimu, Dkt. Jakaya Kikwete akikaribishwa kwa furaha na mwenyeji wake Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina ofisini...
View ArticleRAIS MSTAAFU ALHAJ ALLY HASSAN MWINYI KATIKA SHEREHE YA UHURU WA KUWAIT JANA...
 Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya...
View ArticleREA III KUJA NA UMEME MWINGI
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiongea jambo wakati akiwaeleza wananchi na wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari ya Nyamagongo Wilaya ya Rorya kuhusu utekelezaji wa...
View ArticleMWIJAGE: TAASISI ZINAZOHUSIKA NA UWEKEZAJI ZIACHE UKIRITIMBA
  Ramani ya kiwanda  Wa kwanza kushoto mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, alhaj Magid Mwanga ,wa pili kushoto mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo na Jack Feng mkurugenzi wa kiwanda, wa tatu...
View ArticleKIWANJA CHA NDEGE CHA DODOMA, KUPOKEA NDEGE ZENYE UWEZO WA KUBEBA ABIRIA 90
Kiwanja cha ndege cha Dodoma, sasa kinauwezo wa kupokea ndege zenye uwezo wa kubeba abiria 90, baada ya kurefushwa kwa barabara ya kutua na kuruka kwa ndege kwa kilometa 2.5.Ndege ya Shirika la ndege...
View ArticleDC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA ASASI ZA KIRAIA MANISPAA YA SHINYANGA
Ijumaa Februari 24,2017 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imezikutanisha Asasi za Kiraia zilizopo katika manispaa hiyo kwenye semina ya siku moja iliyolenga kuzijengea uwezo ili ziweze kutekeleza...
View ArticleAMSCO YAWAKUTANISHA VIONGOZI WA MASHIRIKA NA TAASISI KUJADILI UMUHIMU WA...
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne S. Makinda akizungumza kwenye mkutano uliowakutanisha viongozi wa...
View ArticleRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA IVORY COAST MHESHIMIWA...
 Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu  Dkt. Jakaya Kikwete akikaribishwa na Rais Alassane Ouatara wa Ivory Coast jijini Abidjan katika Ikulu ya nchi hiyo.Rais Mstaafu Dkt....
View ArticleWAZIRI NAPE NNAUYE AFUNGUA MASHINDANO YA KOMBE LA STANDARD CHARTERED KWA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiongea na wageni waalikwa pamoja na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Standard Chartered kwa...
View ArticleRAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataija wa Julius Nyerere,jijini...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM KUGOMA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Kigoma, Samson Naingo (76) amefariki dunia akiwa anapata matibabu katika hospitali ya rufaa mkoa wa Kigoma, Maweni.Akitoa taarifa ya kifo chake, msemaji wa...
View ArticleRAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam...
View ArticleRAIS MUSEVEN AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU HAPA NCHINI, AREJEA UGANDA
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleRC MRISHO GAMBO ATEMBELEA NYUMBANI KWA HAYATI EDWARD SOKOINE
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo,Akisalimiana na Mjane wa Hayati Sokoine.Kutoka Kulia ni Diwani wa Monduli juu akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli na...
View ArticleUTOAJI TAARIFA ZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMMA UNAVYOSAIDIA...
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Serikali imeweka kipaumbele kikubwa katika  ujenzi wa miundombinu ya Umma  kwani ni muhimu kuwa na miundombinu mizuri na bora ili kutoa huduma bora na kurahisisha...
View Article