DONDOO ZA HOTUBA YA JPM - JANA SEPT 28, 2016, WAKATI AKIZINDUA NDEGE MBILI...
Rais Dk. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na maafisa wengine waandamizi wakiwa kwenye ndege baada kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili...
View ArticleRAIS JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
View ArticleMABONDIA KUPIMA UZITO KESHO JUMAMOSI KWA AJILI YA MPAMBANO WAO WA OCTOBER 2...
Na Mwandishi WetuBABONDIA mbalimbali watakaozipiga siku ya jumapili ya October 2 katika ukumbi wa White House Bar Kimara Korogwe watapima uzito pamoja na Afya zao kesho jumamosi katika ukumbi uho kwa...
View ArticleWATEJA BAYPORT WAANZA KUPEWA HATI KILWA
Afisa Sheria wa Bayport Financial Services, Mrisho Mohamed katikati akimkabidhi hati yake ya kiwanja mteja wao aliyenunua kiwanja cha Kilwa, Mubarack Kirumirah kulia. Kushoto ni Mratibu wa Masoko na...
View ArticleWAZIRI NAPE AKUTANA NA BALOZI WA SPAIN NCHINI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye akizungumza na Balozi wa Spain nchini Bw. Felix Costales Artieda kuhusu kusaidia kuendeleza sekta ya Utamaduni na Michezo leo Septemba...
View ArticleGAVANA BENNO NDULU ASEMA KASI YA UKUAJI WA PATO LA TAIFA WAONGEZEKA
GAVANA WA BENKI KUU NDULUNa Abushehe Nondo na Lilian Lundo, Maelezo.Kasi ya ukuaji wa pato la Taifa kwa nusu ya kwanza ya mwaka yaani Januari mpaka Juni 2016 imeongezeka na kufikia asilimia 6.7...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA RASMI DODOMA
Waziri Mkuu akiwapungia viongozi na wananchi wa mkoa wa Dodoma alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma leo Septemba 30, 3016Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na Madiwani wa...
View ArticleRAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA JWTZ WILAYA YA...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKIPIGA NGOMA WAKATI AKIFUNGA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA JWTZ JANA WILAYA YA BAGAMOYO Na Nassir BakariRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA...
Kataibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye, leo Oktoba 1, 2016, katika Ofis Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ARIPOTI OFISINI DODOMA, LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wakuu wa Ofisi yake baada ya kuwasili Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 1, 2016. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na...
View ArticleRAIS DK MAGUFULI AWAPA AJIRA JWTZ VIJANA 70 WA MGAMBO BAADA YA KUMUONYESHA...
Na Frank Shija, MAELEZOUZALENDO umewapatia ajira takribani vijana 70 baada ya Amiri Jeshi Mkuu,na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kufurahishwa na namna ambavyo...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAULMAKONDA AUNGURUMA LEO BUGURUNI KWA...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani, ili kuzungumzia kero na changamoto mbalimbali...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTOA ELIMU KWA WAPIGAKURA NCHI NZIMA
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akieleza mkakati wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoa elimu ya Mpiga Kura kote nchini ili kuwajengea wananchi uelewa sahihi juu...
View ArticleWANA CCM WATAKIWA KUJIANDAA KISAIKOLOJIA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI
Na Is-haka Omar, Zanzibar.WAFUASI wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini “B” kichama wameshauriwa kujiandaa kisaikolojia kuwania nafasi za uongozi katika Uchaguzi ujao wa CCM ili kupata viongozi...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI MPYA BODI YA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA
Rais Dk. MagufuliDar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, leo tarehe 02 Oktoba, 2016 amemteua Laston Thomas Msongole kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA CUBA AWASILI NCHINI LEO JIONI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdes Mesa akishuka katika Ndege mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA) leo Jijini Dar es...
View ArticleWATAFITI WAUAWA WAKITUHUMIWA KUWA NI "WANYONYA DAMU" MKOA WA DODOMA
GARI LA WATAFITI WALIOCHOMWA MOTONa Nassir Bakari Watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi cha Selian mkoani Arusha wameuawa na wanakijiji baada ya wanawake waliokuwa wakichimba...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA, LEO...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam,...
View Article