Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA MRISHPO GAMBO KUWA MKUU MPYA WA MKOA WA ARUSHA

MRISHO GAMBORAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya uongozi na kumteua Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuanzia leo, Alhamisi, Agosti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA AGOSTI 22, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 2 WA WAKADIRIAJI MAJENZI AFRIKA JIJINI...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wakadiriaji Majenzi kutoka Afrika uliofanyika kwenye Hotel ya Golden...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDIKILO: VIJANA MSITEGEMEE KUAJIRIWA TU

Evarist NdikiloNa Mwamvua Mwinyi,PwaniMKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo,amesema ni wakati wa kufanya mabadiliko kwa kundi la vijana ,kwa kujenga tabia ya kujiajili wenyewe ,pasipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA LEO MRISHO GAMBO KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam. . Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA...

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Mstaafu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA FILAMU TANZANIA YACHARUKA, YATOA SIKU SABA KWA KAMPUNI PAMOJA FILM...

JOYCE FISSOONa Jacquiline Mrisho - MAELEZOBodi ya Filamu Tanzania imetoa siku saba kwa Kampuni ya Usambazaji wa Filamu ijulikanayo kama ‘Pamoja Film Company’ kuwasilisha nyaraka za filamu zake ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUANZA ZIARA YA KIKAZI LEO MJINI KATAVI

Na: Nasri Bakari 0713 311 300Waziri mkuu wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa leo mchana anatarajiwa kuwasili mjini Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI ARUSHA WAWASHANGAA CHADEMA KUINGILIA MAJUKUMU YA MHESHIMIWA MRISHO GAMBO

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Mrisho Gambo Na:Nasri Bakari 0713 311 300Baada ya kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Arusha na hatimaye jana kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATENDAJI WA IDARA YA MAZINGIRA PIA AHUDHURIA MSIBA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa mkutano na Watendaji wa Ofisi yake Idara ya Mazingira Ikulu jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO MISS MWANZA APATIKANA, NI MARY PETER

Usiku wa Agost 19,2016 kuamkia Jumamosi Agost 20,2016, kulikuwa na mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa taji la MISS MWANZA 2016 ambapo warembo 16 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Mwanza walijitosa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA MPINGA AHITIMISHA KILELE CHA SHINDANO LA UCHORAJI KWA AJILI YA...

Hii ni zawadi ya heshima (tuzo) iliyotolewa na kampuni ya Puma Energy Tanzania na kukabidhiwa kwa mshindi wa kwanza,Mwanafunzi wa darasa la sita kutoka shule ya Msingi Bunge,Veronika Inocent.Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BI SHAKIRA ALIKUWA MIONGONI MWA WASANII MAHIRI WALIOKUWEPO DODOMA WAKATI WA...

 Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURIANI SHAKILA SAIDI- MALKIA ‘NZINGA-MBANDE’

MAREHEMU SHAKILA SAIDINA HEMEDI KIVUYOHakika kila Nafsi itaonja Mauti.Sikupata hofu pale nilipopata ujumbe mfupi kutoka kwa Swedy Mwinyi  kwasababu ni kawaida yake kunitumia ujumbe kujuliana hali na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LA BURUNDI LAPINGA AZIMIO LA UMOJA WA MATAIFA KUPELEKA POLISI NCHINI HUMO

 Picha: Kikao cha Bunge la Burundi------------------BURUNDIWabunge wa Burundi wamepinga azimio nambari 2303 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kukataa kabisa suala la kutumwa nchini humo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama mtoto Nchambi Peter aliyeungua moto  wakati walipotemblea hospitali ya wilaya ya Mpanda Agosti 21, 2016. Kulia ni Mam wa mtoto  huyo, Dotto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMEWATAKA WATENDAJI WA IDARA YA MAZINGIRA KATIKA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuhitimisha kikao cha kazi kilichodumu kwa siku mbili ambao alipokea na kujadili masuala mbali mbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA STAT OIL YA NORWAY IKULU...

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya Norway, Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, AWAASA VIONGOZI WA SIASA, AWATAKA KUWA...

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa SalumNa Sheila Simba-MAELEZOSheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametoa wito kwa viongozi wakisiasa Nchini, kuwa wavumilivu ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE AKABIDHIWA LEO UWANJA WA UHURU BAADA YA KUKAMILIKA MATENGENEZO...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Naoe  Nnauye Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof, Elisante Ole Gabriel, akibadilishana hati na Meneja wa Kampini ya CBG, Cheng Longhai, wakati wa...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>