NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA DUKA LA DAWA LA MSD JIJINI ARUSHA
Msimamizi wa Duka la MSD Arusha Twaha Kabandika akitoa maelezo kwa Naibu Waziri Kigwangalla wa namna mfumo unaotumika kwa mauzo unavyofanya kazi.Kulia ni M/Kiti wa Bodi MSD, Prof Idris Mtulia,...
View ArticleJAJI MKUU MHE.OTHMAN CHANDE AFUNGUA RASMI MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA...
Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na wadau mbalimbali wa wakiingia katika viwanja vya Mnazi mmoja kwa maandamano leo jijini Dar es salaam wakati wa Ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria.Watumishi...
View ArticleMHE. NAPE AIPONGEZA BLOG YA VIJIMAMBO KWA KUTIMIZA MIAKA 6
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye leo ametuma salaam zapongezi kwa blog ya Vijimambo ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake akizungumza na mwandishi wa habari...
View ArticleUZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 39 YA KUZALIWA CCM KISIWANDUI MJINI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara...
View ArticleUNIDO NA CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAENDESHA SEMINA KWA WAMILIKI WA VIWANDA...
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na maendeleo ya viwanda UNIDO kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Mzumbe wameendesha semina kwa wahitimu kutoka vyuo mbalimbali pamoja na viwanda vidogo...
View ArticleMFUKO WA DHARURA WA UN WATOA DOLA MILIONI 11KUSAIDIA WAKIMBIZI WA BURUNDI NA...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametoa dola za Marekani milioni 100 (US$ 100m, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 220) kutoka katika Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Dharura wa Umoja wa...
View ArticleFORMER PRESIDENT KIKWETE IS NOW GAVI GLOBAL AMBASSADOR FOR IMMUNIZATION
Statement of President Kikwete His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete, former President of the Republic of TanzaniaADDIS ABABA, Ethiopia, 31 January 2016,-/African Media Agency (AMA)/- It is...
View ArticleWITO UMETOLEWA KWA WAMILIKI WA SILAHA KUHAKIKI SILAHA ZAO KWA WAKATI
Pichani :Kamanda Liberatus Sabas, alipokuwa akifunga Kampeni za ABIRIA PAZA SAUTI, Jijini Arusha, Na Vero Ignatus wa Wazalendo 25 Blog, Arusha.Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limewataka watu wote...
View ArticleJAJI MKUU OTHUMAN CHANDE ATOA SIKU SABA KWA MAHAKIMU 508 WATOE MAELEZO...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo mchana , kuhusu utendaji wa mahakimu wa mahakama za hakimu...
View ArticleDC KINONDONI, PAUL MAKONDA APOKEA SARUJI MIFUKO 1640 KUTOKA KWA WADAU WA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Duma, Areeq Amran Mohamed (kulia), akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda mfuko mmoja wa saruji kati ya 640 aliyoitoa kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MWENYEKITI WA CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye ofisi ndogo ya CCM,Makao Makuu Lumumba,jijini Dar es...
View ArticleKINANA AWASILI SINGIDA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CCM...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI ATEMBELEA KAMBI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA WALEMAVU YA...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigamboni, jijini Dar es salaam alikotembelea...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KUPAKA RANGI JENGO LA OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za CCM mkoa wa Singida ambapo alipokea taarifa ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM pamoja...
View ArticleJK AWASILI MKOANI SINGIDA JIONI HII
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kushiriki...
View ArticleRAIS MAGUFULI MGENI RASMI SIKU YA SHERIA NA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA
Rais Dtk John Pombe Magufuli (kushoto) akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman alipo wasili katika viwanja vya Mahakama wakati wa kilele cha Maadhimisho ya 21 ya siku ya Sheria na...
View ArticleKINANA ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE NA KUSHIRIKI KUPANDA MIHOGO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia Sola zinazosukuma maji kwenye kisima cha mradi wa maji yanayotumika kwenye kijiji pamoja na shule ya msingi ya Munguli iliyopo wilaya ya Mkalama...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE SINGIDA,...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikaribishwa baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo, kaba ya kukutana na kuzungumza na wazee wa Singida Mjini. Kulia ni Katibu wa NEC,...
View Article