MSIBA NYUMBANI KWA MAREHEMU GEORGE SEBO BOWIE, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Kushoto ni Abdul Sebo mtoto wa marehemu akipewa pole na moja ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa marehemu Bowie kutoa pole na rambi rambi zao kwa wafiwa kutokana na kifo cha mpendwa wao...
View ArticleMUUJIZA WA KUPANDIKIZA KWA UBOHO (BONE NARROW) ULIVYOBADILISHA MAISHA
The founder and Chairman of Apollo Hospitals Dr. Prathap .C. Reddy.Mara nyingi watu kutoka nchi zilizoendelea waishio na tatizo la damu na upungufu wa kinga mwilini huishi, tofauti na nchi...
View ArticleJK AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TAA, MHANDISI SULEIMAN SAID SULEIMAN
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisjo Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na watoto watatu wa marehemu Mhandisi Suleiman Said Suleiman, aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja Vya...
View ArticleRAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AONESHA UMAHIRI WAKE WA KUSHONA
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini...
View ArticleJPM AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana...
View ArticleNAPE AKUTANA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na wajumbe wa kamati ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo Kitaifa yatafanyika mkoani Singida.Katibu wa NEC Itikadi na...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ATUZWA SHAHADA YA HESHIMA YA...
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika...
View ArticleNAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa...
View ArticleNAPE AKITUMBUIZA PAMOJA NA VIJANA WA MUZIKI WA HIP HOP KUTOKA KASKAZINI...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewaambia wasanii kufanya kazi zenye ubora kwani kazi zao zitaangaliwa na nchi nyingi kupitia kituo cha Clouds TV ambacho kinapatika...
View ArticleWAZIRI NAPE AWATAKA WASANII KUFANYA KAZI ZENYE UBORA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga gitaa kwenye sherehe za uzinduzi wa Chaneli 294 itakayokuwa inapatikana kwenye king'amuzi cha DSTV.Waziri Nape aliwataka wasanii...
View ArticleDODOO ZA MAGAZETI YA LEO KATIKA BAADHI YA TV ZA TANZANIA
STAR TVCHANNEL TEN TBC MLIMANI TV
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA MAHADHI JUMA MAALIM KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es salaam. Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Mhe. Rais Dkt. Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Waziri wa...
View ArticleRAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA VITAMBULISHO VYA...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es salaam wakati alipotangazia umma wa watanzania kuhusu hatua ambazo Rais Dk. John Pombe Magufuli amechukua...
View ArticleKAIMU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU ATANGAZA KIHAMA KWA WALA RUSHWA HASA...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru), Kamishna Valentino Mlowola akizungumza na wanahabari. Kaimu Mkurugenzi Mkuuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
View ArticleTANZANIA YATAKA UMOJA WA MATAIFA KUZINGATIA MISINGI ILIYOJIWEKEA
Na Mwandishi Maalum, New YorkWakati Tanzania ikipongeza, kusifu na kushukuru uhusiano na ushirikiano wake na Umoja wa Mataifa kupitia Mifuko na Mashirika yake ya Maendeleo, imeutaka pia Umoja...
View ArticleJK AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA BAN KI MOON NAYE AMSHUKURU
Na Mwandishi Maalum, New YorkMwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, Rais Mstaafu, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, jana Jumatatu, amemkabidhi Katibu...
View ArticleDK. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA, MAKAO MAKUU YA CCM, DAR...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akimkaribisha Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi...
View ArticleMAJANGILI YAUA RUBANI BAADA YA KUTUNGUA KWA RISASI NDEGE YA TANAPA
NA K-VIS MEDIA/Khalfan SaidRUBANI wa helikopta ya Doria ya Mamlaka ya Wanyamapori Nchini, (TANAPA), Roger Gower raia wa Uingereza ameuawa baada ya kupigwa risasi akiwa angani na watu wanaosadikiwa kuwa...
View Article