WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI LEO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akipungia mkono wakazi wa mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili mkoani humo ikiwa ndio ziara yake ya kwanza tangia kuteuliwa...
View ArticleMAJALIWA: KUBADILIKA LINDI INAWEZEKANA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja Ilulu ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ataendelea kuwa...
View ArticleTANZANIA: JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO
NA MWANDISHI MAALUM, NEW YORKMwishoni mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio linalotathmini...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE...
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21,...
View ArticleTAMASHA LA KRISMAS LAFANA DAR
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiinua CD juu kama ishara ya uzinduzi wa album ya kundi la muziki wa kwaya la Wakorinto wa Pili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAAPISHA LEO MAWAZIRI WAPYA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI
Mawaziri wapya wakisubiri kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mawaziri wapya wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe....
View ArticleRAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU WAZIRI ALIOWATEUA KUJAZA NAFASI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Prof. Jumanne Magembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalikiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo leo Desemba 28, 2015. Kushoto...
View ArticleNAPE AZINDUA FILAMU INAYOONYESHA MASUALA YA RUSHWA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa na mtangazaji mashuhuri wa Azam TV Taji Liundi muda mfupi kabla ya kuzindua filamu mpya ya Home Coming kwenye ukumbi wa Century...
View ArticleMKESHA WA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI WAKE WAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akihutubia kwenye Mkesha Mkubwa Kitaifa,Dua Maalum ya...
View ArticleTANGAZO LA KITABU KIPYA KUHUSU RAIS DK. MAGUFULI
Heri ya mwaka mpya. Nina furaha kuwafahamisha kuwa kitabu kipya, "Dokta John Pombe Magufuli: Safari ya Urais, Mafaniko na Changamoto katika Urais wake" sasa kinapatikana. Kitabu hiki ni mfululizo wa...
View ArticleBALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam Baadhi ya Makatibu Wakuu na...
View ArticleUZINDUZI WA SHEREHE ZA MAPINDUZI KWA USAFI WA MAZINGIRA KITAIFA
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitandaza kifusi kwa kukiweka sawa katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa...
View ArticleMAPITIO YA MAGAZETI YA LEO KATIKA BAADHI YA TELEVISHENI ZA TANZANIA
STAR TV CHANNEL 10 AZAM TV MLIMANI TV # Imetayarishwa na Bashir Nkoromo
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais...
View ArticleMAPITIO YA MAGAZETI YA LEO KATIKA TELEVISHENI ZA TANZANIA
MLIMANI TV TBC CHANNEL 10 STAR TV AZAM TV
View ArticleWAZIRI NAPE NNAUYE AKUTANA NA WAYHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI DAR
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mh.Nnape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya Wakuu wa Idara ya Habari Maelezo na Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari mapema...
View Article