KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir...
View ArticleHALMASHAURI YA LINDI VIJIJINI YAPATA MWENYEKITI
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndugu Yahaya Nawanda akihutubia wakati wa ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Lindi Vijijini ambapo aliwataka madiwani wao kuhakikisha suala la...
View ArticleNAPE AKABIDHI PIKIPIKI 20 KWA MAKATIBU KATA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akimkabidhi Katibu wa kata ya Mtua Kilimahewa Ndugu Maliki funguo ya pikipiki kwa niaba ya makatibu kata 20 wa jimbo hilo ambao wote wamewezeshwa usafiri wa...
View ArticleNAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA
Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka...
View ArticleLAPF YATOA MSAADA WENYE THAMANI YA TSH 2,800,000/= KWA KITUO CHA AFYA MAKOLE...
Na Mwandishi MaalumMfuko wa Pensheni wa LAPF wenye makao yake makuu mjini Dodoma, umetoa msaada wenye thamani ya shilingi 2,800,000/= kwa kituo cha Afya cha Makole. Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni...
View ArticleRAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI
Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.Mawaziri - George Simbachakene na Angella KairukiNaibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na...
View ArticleWASOMI KUJADILI HOTUBA YA RAIS DK. MAGUFULI ALIYOITOA WAKATI WA KUFUNGUA...
Waandaaji wa Mdajala kuhusu Hotuba ya Rais Dk. John Magufuli, aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge mjini Dodoma, wakizungumza na waandishi wa habari leo, katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini...
View ArticleMAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO WAAPISHWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ,Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleMHE. NAPE AFUNGUA MDAHALO WA KUJADILI HOTUBA YA RAIS CHUO KIKUU JIJINI DAR ES...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wageni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Mdahalo wa kuijadili hotuba ya Rais aliyoitoa siku ya ufunguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya...
View ArticleNAPE ATAKA WAFANYAKAZI KAZI KWA KUJIAMINI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa ofisini kwake . Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Annastazia Wambura akiwasalimu Viongozi, Wakuu wa...
View ArticleWAZIRI MKUU AKUTANA NA KINANA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwenye Makao Makuu ya Chama, Ofisi Ndogo CCM Lumumba,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu wa Jamhuri...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AMNG'OA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU DK. EDWARD HOSEAH
IFUATAYO NI TAARIFA YA IKULU
View ArticleNAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATOA MWELEKEO WA UTENDAJI...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zake kuhusu ufanyaji kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maslahi ya...
View ArticleMWIGULU AKUTANA NA WATUMISHI WIZARANI KWAKE "NAHITAJI MAJAWABU SIO MAJIBU"
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba akisalimiana na watumishi wa wizara yake mapema hii leo alipowasili ofisini kwaajili ya kuzungumza na watumishi wa wizara hiyo.Mh.Mwigulu Nchemba...
View ArticleKAMATI YA URATIBU YA SHIRIKISHO LA VYUO ELIMU YA JUU YAANZA VIKAO VYA SIKU MBILI
Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Zainab Abdallah (MNEC) akiongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Taifa ya la Vyuo vya Elimu ya juu kilichofanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleCHINA YASAIDIA VITANDA 60 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA KWA MKOA WA LINDI
Balozi wa China nchini Dk. Lu Youqing akizungumza kabla ya kukabidhi vitanda 60 vya kujifungulia wakina mama katika mkoa wa Lindi, kushoto ni mkalimani wake Ndugu Mu Lin. Waziri wa Habari, Utamaduni,...
View ArticleSHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAJA NA MIKAKATI MIPYA...
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Zainab Abdallah, akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa...
View ArticleNAPE AWAAMBIA WANA MASASI KULIPELEKA JIMBO UPINZANI NI KULIWEKA REHANI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama(CCM) na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akihutubia wakazi wa Masasi kwenye mkutano wa...
View Article