KANYAGA-TWENDE YA MAMA SAMIA YAMALIZIKA SINGIDA NA KUANZA DODOMA
 Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais ka tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akitoka Singida mjini kwenda Dodoma, kupitia Ikungi na Manyoni kufanya mikutano ya kampeni leo. Mgombea Mwenza wa Urais...
View ArticleMASPIKA WA MABUNGE DUNIANI WAKUTANA UMOJA WA MATAIFA
Na Mwandishi Maalum, New YorkMkutano wa Nne unaowakutanisha Maspika 180 na Manaibu Spika 35 kutoka nchi 140, unaanza leo ( jumatatu) hapa Makao Mkuu ya Umoja wa Mataifa.Mkutano huu wa siku tatu na...
View ArticleMAGUFULI AWEKA HISTORIA MAJI MAJI SONGEA
Maelfu wahudhuria mkutano wake wa KampeniAsema Serikali yake haitoruhusu mkulimwa kukosaAtaboresha maslahi ya walimuAsisitiza Elimu bure kutoka kidato cha kwanza mpaka cha nne Mgombea wa Urais kupitia...
View ArticleMAMA SAMIA AKUTANA NA MAKUNDI YA KINA MAMA MJINI DODOMA
 Mgombea Mwenza waa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda alipowasili kwenye jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo,...
View ArticleMAMA SAMIA ACHANJA MBUNGA LEO CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA...
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo. Shamrashamra za...
View ArticleSAFARI YA MAGUFULI KUELEKA MTWARA AKITOKEA RUVUMA YAWA YA AINA YAKE AHUTUBIA...
Awaambia wananchi ,tumetoka mbali, tupo mbali na tunaelekea mbaliBei za Vifaa vya ujenzi kama Cement na Mabati kupunguaKuboresha zao la korosho na kuipandisha thamaniAwaambia wananchi hao yeye si...
View ArticleDK. SLAA ATANGAZA RASMI KUACHIA NGAZI CHADEMA
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa, Septemba 1, 2015, ametagaza rasmi kuondoka katika chama hicho na kustaafu mambo ya siasa akiwa katika vyama vya siasa nchini Tanzania.Hata hivyo...
View ArticleMAGUFULI KUIANGALIA MTWARA KWA JICHO LA TATU
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Mashujaa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda na wananchi wake watapewa...
View ArticleMAMA SAMIA AITEKA DODOMA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANO WAKE
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini leo. Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa kampeni...
View ArticleMAMA SAMIA ARINDIMA TEMEKE, DAR ES SALAAM, WANANCHI KWA MAELFU WAFURIKA...
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kata ya Buza jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam....
View ArticleMAMA SAMIA ATINGISHA JIMBO LA KIBAMBA, DAR ES SALAAM MCHANA HUU
 Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya...
View ArticleHAPA KAZI TU YA MAMA SAMIA YATIKISA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE...
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika eneo la Msasani jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam....
View ArticleMAGUFULI AITIKISA KILOMBERO LEO MAELFU YA WAKAZI WA WILAYA HIYO...
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa...
View ArticleMAMA SAMIA AMALIZA ZIARA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA KUFUNIKA JIMBO LA UKUNGA LEO
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Majohe kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar esSalaam,...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA...
 RAIS Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto...
View ArticleMAGUFULI AITEKA MOROGORO MKUTANO WAKE WAWEKA HISTORIA MOROGORO
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Jamhuri tayari kuhutubia wakazi wa Morogoro mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM. Wananchi...
View ArticleUONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA KILOSA WAJIUNGA NA CCM
Viongozi watatu wa Chadema wilaya ya Kilosa na mwanachama mmoja wametangaza kujiunga rasmi na CCM baada ya kuchoshwa na siasa za Chadema ambazo wameona hazina haki. Viongozi hao waliohamia CCM ni...
View ArticleMAGUFULI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KISAYANSI
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisoma bango la vijana wafanya biashara ndogo ndogo wa eneo la Dumila maarufu kama Feri wakati akielekea mkoani Tanga ikiwa muendelezo wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea...
View ArticleMAGUFULI KUIBORESHA BANDARI YA TANGA NA KUJENGA VIWANDA VYA SAMAKI NA MATUNDA
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Tangamano ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya Tanga,...
View Article