$ 0 0 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya miaka 30 ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi leo.