Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20879 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI VIJANA WAHIMIZWA KUBOBEA KATIKA TIBA YA MAGONJWA YA NGOZI

 Mmoja wa waratibu wa Semina ya madaktari kuhusu magonjwa ya ngozi, Jesinta Mboneko, akimkaribisha mmoja wa washiriki hiyo, Muuguzi katika hospitali ya Mbezi Medical Clinic inayojishughulisha na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWATAKA WAKAZI WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI KUTORUDIA MAKOSA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Shangarai waliojitokeza kumpokea na kumkaribisha katika wilaya ya Meru, jimbo la Arumeru Mashariki. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

View Article

NAPE: NYALANDU TIMIZA WAJIBU WAKO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AITIKISA ARUSHA KUHUTUBIA WANANCHI WA ARUSHA MJINI KESHO KATIKA UWANJA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu hoja mbali mbali zilizoletwa na kamati ya soko la Kilombero ikiwa pamoja na kupandishiwa kodi bila utaratibu maalum. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO ATOA HOTUBA KULIAGA BUNGE, ASEMA ATAENDELEA KUPINGA UDIKTETA WA BAADHI...

Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo...

View Article


MWENYEKITI WA CCM MKOA WA ARUSHA AWATAKA MAWAZIRI KUFANYA ZIARA KWA WANANCHI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA KILTEX

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimwaga saruji wakati wa kushiriki ujenzi wa barabara ya Olorieni kwa kiwango cha Lami ikiwa sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010. Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AUZIMA UPINZANI ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Arusha mjini kwenye uwanja wa mkutano wa Sheikh Amri Abeid ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa CCM itaendelea kuwatetea watu masikini...

View Article


NAPE AKIHUTUBIA ARUSHA MJINI (VIDEO)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO

Afanya ziara wilaya ya SihaAipongeza wilaya hiyo kwa maendeleo ya kasiAwapongeza Viongozi kwa kufikisha maji safi na salama kwenye kila kijijiAmpongeza Mbunge wa Jimbo la Siha kwa juhudi zake za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA WAZIRI WA ZAMANI WILAYANI HAI

Mzee Israel Elly Nawinga akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana nyumbani kwake katika kijiji cha Masama Losaa,Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA WILAYA YA HAI YAWA YA MAFANIKIO

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchimba msingi wa darasa katika shule ya msingi Modio,Masama Mashariki wilaya ya Hai.Shule ya msingi Modio ilikumbwa na tetemeko la ardhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA : VIONGOZI WALIOKUWEPO MADARAKANI WAACHWE WAMALIZE MUDA WAO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Moshi Ndugu Novatus Makunga wakati wa mapokezi kwenye kijiji cha Mikocheni ambapom Katibu Mkuu wa CCM alipita kuwasalimia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKA 2030 UWE MWISHO WA TOFAUTI YA USAWA WA KIJINSIA: UN

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe, akifuatilia  hitimisho la Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya  Wanawake. Kushoto ni Ndugu, Jaji Angela...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWATAKA WANANCHI WA VUNJO KUCHAGUA CCM

Awaambia ushabiki wa kisiasa unarudisha nyuma maendeleo ya VunjoAwataka wana CCM kushikamana na kuwa kitu kimoja Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Oria,Kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA JIMBO LA SAME MAGHARIBI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dk. David Mathayo David wakati wa mapokezi katika kata ya Njoro .Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUBWA WA HADHARA WAAHIRISHWA KUTOKANA NA MVUA MKUBWA KUNYESHA

 Wananchi wakisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye uwanja wa mkutano stendi bila kujali mvua iliyokuwa inanyesha. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANNE KILANGO AISHUKURU SERIKALI YA CCM KWA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mashine ya kupasulia mbao wakati alipotembelea chuo cha ufundi  Maore kilichopo kata ya Muheza, Same Mashariki.Chuo hicho kitachukua wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA BARAZA LA USHAURI WA KISIASA LA WATU WA CHINA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu ya Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS ROBERT MUGABE AWASILI ARUSHA KUFUNGUA KONGAMANO LA TATU LA VIONGOZI...

 Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Zimbambwe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kushiriki ufunguzi wa Kongamano la Viongozi Vijana...

View Article
Browsing all 20879 articles
Browse latest View live




Latest Images