CAG WA TANZANIA KATIKA ZIARA YA UKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh (Kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon baada ya Mkutano wa 67 wa Bodi ya Ukaguzi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA KYAKA-BUGENE, APONGEZA WANAHABARI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kyaka-Bugene kwa kiwango cha lami katika kijiji cha Bunazi, mkoani Kagera, akiwa na mawaziri alioongozana nao katika...
View ArticleRAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKUMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya. Kwa heshima kubwa...
View ArticleWAZEE WA KIMILA WAMPONGEZA MBUNGE NYAMBARI NYANGWINE
NYAMBARI NYANGINETARIME, TanzaniaSAISA chafu zinazodaiwa kuanza kushika kasi katika majimbo ya Tarime na Rorya, zimewaibua wanasiasa wakongwe na wazee wa kimila, ambao wametoa maonyo makali.Pia,...
View ArticleCCM YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUREJESHA BUNGENI MUSWADA SHERIA YA KODI YA TOZO...
NA MWANDISHI WETUCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeipongeza serikali, kwa uamuzi wake kurejesha bungeni kwa ajili ya mdajala zaidi, muswada wa sheria ulioanzisha kodi mpya ya tozo ya sh. 1,000 kwa laini ya...
View ArticleNAPE AFUTURU NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI KIGOMA MJINI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifuturu pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk.Amani Kaborou,Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma Mohamed Nyawenga na Mbunge wa Manyovu Albert Obama....
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MAMA WA WATOTO WAWILI WAHANGA WA MLIPUKO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Aisha Omari (kushoto) Mama wa watoto wawili waanga wa mlipuko wa Bomu la Arusha, Sharifa Jumane (9) na...
View ArticleBARAFU LA MLIMA KILIMANJARO LAKAUKA MLIMA MWEUPEEE
Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa...
View ArticleNAPE AKUTANA NA MADIWANI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA SIASA BUHIGWE NA KIBONDO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Ndugu Charles Gishuli . Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na madiwani wa CCM na Wajumbe wa...
View ArticleHOTUBA YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013, YA RAIS JAKAYA KIKWETE
Kama ulivyo utaratibu aliojiwekea wa kutoa hotuba maalum kwa wananchi, kila mwisho wa mwezi, Rais wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa mwezi uliopita, Julai mwaka huu, pia ametoa hutoba yenye...
View ArticleMBUNGE WA MOROGORO KUSINI AHAMASISHA WANANCHI KATIKA SHUGULI ZA MAENDELEO
Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Innocent Kalogeris akifyatua matofali jana katika kata ya Kisemo Morogoro vijijini ikiwa ni siku aliyojipangia na wananchi wa...
View ArticleMAKUNDI MBALI MBALI YA VIJANA MKOA WA MWANZA WASHIRIKI MJADALA WA KATIBA MPYA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa CCM juu ya Rasimu ya Katiba mpya katika mkutano uliofanyika Mwanza leo na kuwakutanisha vijana wa makundi mbali mbali.Mjumbe wa Kamati...
View ArticleCHADEMA HOI MBEYA MJINI, CCM YAZOA 365 KWA MPIGO
MBEYA, TanzaniaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeisambaratisha ngome ya CHADEMA mjini hapa baada ya wanachama wake 365 wakiongozwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mjumbe wa Baraza Kuu la Vijana la...
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA NA RASILIMALI ZA TAIFA LAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati...
View ArticleCCM BADO INA IMANI KUBWA NA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA: NAPE
Nape NnauyeNA MWANDISHI WETUCHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya.Imesema licha ya CCM...
View ArticleWAPINZANI WACHEZEA KICHAPO KIBONDO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akizungumza na madiwani wa CCM wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wiki iliyopita.WAPINZANI WACHEZEA KICHAPO KIBONDOKatika hali inayothibitisha ule usemi wa mwanamuziki...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleJAPAN YATANGAZA SERA MPYA KWA TANZANIA
*Tanzania sasa kuwa nchi lengwa ya Japan*Kuisaidia kuwa kitovu cha uwekezaji Afrika*Japan kushiriki maboresho Reli ya Kati*Kupanua na kuboresha Bandari ya DSM*Viwanda kikiwemo cha pikipiki za Honda...
View Article