Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AZURU KABURI LA DK.OMAR ALI JUMA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wengine wa CCM na ndugu wa aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AANZA AMSHAAMSHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

 Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea leo, alipowasli kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMTEMBELEA RAFIKI WA HAYATI ABEID KARUME

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mzee Hamis Juma Mkadala alipomtembelea nyumbani kwake Wawi Vijijini,Mzee Mkadala alikuwa rafiki mkubwa wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHIPUKIZI WA CCM WAJIFUA VIKALI KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO MJINI SONGEA KWA...

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emmanuel Nchimbi, walipokuwa wakikagua mazoezi ya vijana wa Chipukizi wa CCM ya paredi na...

View Article

VIDEO; SHUHUDIA UKAKAMAVU WA CHIPUKIZI WA CCM KATIKA MAANDALIZI YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND NA ZARI WALIVYOTUA MJINI SONGEA TAYARI KUBURUDISHA WANANCHI KWENYE...

Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZATIA FORA MJINI SONGEA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambapo kitaifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA...

HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA SIKU YA SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SONGEA ILIVYOPENDEZA SIKU YA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM

 Mawenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye kilele cha sherehe za miaka 38 ya CCM katika uwanja wa Majimaji mjini Songea ziliziopambwa...

View Article


VIJANA WA CHIPUKIZI WAONYESHA UWEZO WA JUU KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 38 YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NCHIMBI ASEMA CCM HAINA TATIZO LA KIMUUNDO WALA MFUMO

n style="color: #008000;">Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA 7 WAKABIDHIWA MATREKTA

Nape asisitiza Viongozi wa CCM kuwa mfano kwa kushiriki shughuli za wananchiKariati atimiza matrekta 100 kwa wakulima Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AKUTANA NA UONGOZI WA TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN) LEO

 Katibu wa NEC, Itrikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokewa na Mhariri Mtendaji wa Kampunu ya Magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspapers (TSN), Gabriel Nderumaki alipowasili leo kwenye Ofisi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya  Kiislamu ya Iran Mohammed Javad  Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHA MNUNUZI HALALI NYUMBA YA BALENGA: MAHAKAMA

NA MWANDISHI WETUMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.Hayo yalithibitishwa leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA VYOMBO VYA HABARI YAMKUTANISHA NAPE NA MBOWE

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, leo akiwa katika ziara...

View Article

KAMANDA WA POLISI MBEYA AZUNGUMZIA TUKIO LA VURUGU MBALIZI MBEYA

View Article


TAARIFA KWA UMMA MUINGLIANO WA MASAFA

Taarifa Kwa Umma Muingliano Wa Masafa Final

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPLM YAANZA UTEKELEZAJI WA MAKUBALIANO YA ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa tatu kutoka kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Makundi ya Chama cha SPLM cha Sudan ya Kusini Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zamwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi waJaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6,...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>