TANZANIA NA UJERUMANI ZAJADILIANA UHARAMIA DHIDI YA WANYAMAPORI
"Karibu" ndiyo anavyosema Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wakati akimkaribisha mgeni wake Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya...
View ArticleKAMATI KUU YAKUTANA ZANZIBAR
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Afisi Kuu ya CCM Zanzibar tayari kwa kikao cha Kamati Kuu ya...
View ArticleCCM YAITAKA SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA BUNGE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akizungungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. Waandishi wa Habari wakimsikiliza Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye...
View ArticleGLOBAL ECONOMOC PROSPECTS: GROWTH FORECASTS AND OUTLOOK ANALYSIS / SSA...
Global economic prospects to improve in 2015, but divergent trends pose downside risks, says WBWASHINGTON, January 13, 2015– Following another disappointing year in 2014, developing countries should...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA ZANZIBAR
Apata mapokezi wakubwa wilaya ya mjiniAshiriki kazi za kijamiiAsisitiza viongozi wasaidie wananchi kuipata,kuisoma na kuielewa Katiba iliyopendekezwa kwani ina masuala yote ambayo Wazanzibari...
View ArticleKINANA AWAPONGEZA VIONGOZI WA CCM ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI VIZURI
Ashiriki shughuli mbali mbali za kijamiiAtembelea majimbo matano ( 5 ) ya wilaya ya Mjini Zanzibar Awataka Viongozi kuwajali vijana ,kuwasaidia katika masuala mbali mbali ya msingiAwaambia wananchi...
View ArticleZIARA YA WAZIRI NYALANDU MJINI RIADHI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa katika mazungumzo na Mwana Mfalme wa Saudia, Prince Bandar bin Saud bin Mohammad Al-Saud, kuhusiana na masuala ya uhifadhi, mjini Riyadhi,...
View ArticleRITTA KABATI AWATAKA KINAMAMA KUJITOKEZA KWA WINGI KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI...
Mbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATI Mbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATINA MARIAM MATUNDUIRINGAMbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATI amewataka wakinamama...
View ArticleKINANA : CCM ITASHINDA ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi Wilaya ya Amani,Zanzibar ambapo aliwaambia CCM imejipanga vizuri kuhakikisha inashinda kwenye chaguzi zinazokuja Zanzibar kwani ndio...
View ArticleKINANA AWAPA MATUMAINI WANA CCM WILAYA YA AMANI ZANZIBAR
Awaambia washikamane kudumisha umojaAwaambia unyonge hautakiwi kwa wana CCM Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae (CCM)Salim Hassan Abdullah Turky...
View ArticleKINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA SPLM LEO ARUSHA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo aliwasili Arusha kwa lengo la kufanya mazungumzo na makundi matatu ya chama cha SPLM ya Sudani ya Kusini, mashauriano hayo yalilenga kukamilisha...
View ArticleDK.SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA MUASISI WA CCM MZEE MAKAME MZEE SULEIMAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Waislamu na Viongozi katika Kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Marehemu Mzee...
View ArticleVIJANA WATAKIWA KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA KWA MAENDELEO YAO
Ndugu Elly David Akitoa Mada Kuhusu Vijana kujituma na kufanya kazi kwa Bidii Kwa maendeleo ya taifa.Mtoa Mada huyo amesema kutokana na Ukosefu wa ajira hususani kwa vijana ni vyeme vijana kujituma na...
View ArticleKINANA AWATAKA VIONGOZI KUWA WAADILIFU DIMANI ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM mara baada ya kuwasili kwenye mkoa wa Magharibi tayari kwa ziara ya kujenga na kuimarisha chama mkoani humo....
View ArticleMKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), WAFANYIKA...
Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo. Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa...
View ArticleKINANA AWAJENGEA UWEZO WANA CCM MKOA WA MAGHARIBI WAAHIDI KUSIMAMA IMARA
Zaidi ya wanachama 1000 wajiunga na CCM mkoa wa MagharibiHotuba zake na zawa gumzo mjiniAsisitiza mshikamano kwa wanachama wa CCMKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na aliyekuwa Waziri...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AZIMA MARUFUKU MAGARI YA TANZANIA JKIA
Na mwandishi wetuWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo...
View Article