JARIDA LA KIMATAIFA LAMFAGILIA MOHAMMED DEWJI KWA UJARIAMALI
Na Mwandishi Wetu Mjasirimali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) ametajwa katika jarida la Kimataifa la mabilionea duniani katika Nyanja za biashara (Forbes Africa...
View ArticleUFUNGUZI WA MKUTANO WA SMART PARTNERSHIP DIALOGUE 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na vijana wa umri wa CPTM 29ers waliohudhuria mkutano wa Smart Partneship Dialogue 2013 wakati wa ufunguzi rasmi wa mkuatno huo...
View ArticleMWENDESHA MASHITAKA NI MSHITAKIWA
Mwaka 1984, mkoani Dodoma ndani ya ukumbi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulikuwepo kesi kubwa. Kesi ya kiongozi wa juu wa serikali ya Zanzibar. Alishitakiwa kwa kosa la kwenda kinyume cha “hati za...
View ArticleMAANDALIZI YA MAPOKEZI YA OBAMA YAKAMILIKA, TASWIRA ZA IKULU .
Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini. Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake...
View ArticleMAPOKEZI YA RAIS OBAMA YAFANA,AFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
Rais Barack Obama wa Marekani akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaamRais Barack Obama wa Marekani akiongea na waandishi wa habari.
View ArticleRAIS BARACK OBAMA APANDA MITI IKULU DAR
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini...
View ArticleTWIGA BANCORP KUTUMIA MAWAKALA KUTOA HUDUMA ZAKE
Ofisa Mtendaji Mkuuwa TwigaBancorp Limited,Hussein Mbululo, akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na huduma mbalimbali za kibenki zinazopatikana katika katika Banda la Benki hiyo lililopo katika...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WAKE ZA MARAIS
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe George W. Bush na Mkewe Laura na Mama Salma Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika Mashariki leo July 3,...
View ArticleWAKURUGENZI WATENDAJI WA NBC NA SCB WASHIRIKI MKUTANO WA AFRICAN FIRST LADIES...
Mizinga Melu Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya National Bank Of Commerce (NBC) kulia akizungumza na Liz Lloyd Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chatered mara baada ya Mke wa Rais wa Marekani Mama...
View ArticleMWANAFUNZI WA VETA MWENYE MAHITAJI MAALUMU AWA KIVUTIO KATIKA BANDA LA VETA.
Range Jackson ambaye ni mwanafunzi mwenye mahitaji maaalum(Matatizo ya akili katika kujifunza) walimu wa VETA wanakataa kuwaita jina hilo kwa kuwaonyesha kuwa wanafundishika ,Pichani akiwaonyesha...
View ArticleSUMRY LATUMBUKIA MTONI NA KUUA TISA KATAVI
Na Willy Sumia, KataviKATIKA hali isiyo ya kawaida basi la kampuni ya Sumry limetumbukia mtoni na kuuwa watu tisa na kujeruhi abiria wapatao hamsini na tatu katika mto Iku uliopo katika kijiji cha...
View ArticleRAIS KIKWETE ACHEZESHA MECHI YA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA
Rais Jakaya Kikwete akikagua timu ya wabunge mashabiki wa Yanga kabla ya timu hiyo kumenyana na wenzao wa Simba, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakati wa Tamasha la Matumaini. Yanga...
View ArticleSONGAMBELE: NILINUSURIKA KUFUNGWA KWA KUMCHEKESHA RAIS
MUSTAFA SONGAMBELEDAR ES SALAAM, TanzaniaMuasisi wa TANU Mustafa Mohammed Songambele amesema aliwahi kunusrika kufungwa kwa sababu ya kumchesha rais, Mwalimu Julius Nyerere.Akizungumza na baadhi ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WAPYA LEO IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi...
View ArticleNHC YAMPIGA TAFU MISS TANZANIA 2012 KUJENGA BWENI LA ALBINO BUHANGIJA
Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 4.1 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MABUNGE WA KUJADILI SERA ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Baraza la Dunia ya baadaye wa Dunia, 'World Future Council' Alexandra Wandel, wakati...
View ArticleSHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JULY 11, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaam.Rais...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA DKT. JUDITH KAHAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji baadhi ya ndugu wa marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA NETHERLAND ALIYEMALIZA MUDA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania, Mhe. Ad Koekkoek, aliyemaliza muda wake nchini, wakati alipofika...
View ArticleREDBRIGADE NI UASI SI SAWA NA GREEN GUARD YA UVCCM
KATIBU MKUU WA UVCCM, MARTINE SHIGFELLA LEO AMZEZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NA KELEZA MAMBO MATATU MUHIMU LIKIWEMO HATUA YA CHADEMA KUTAKA KUANZISHA MGAMBO KINYUME CHA SHERI.SASA FUATILIA MAELEZO...
View Article