Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22430 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM KUUTEKA MJI WA TABORA LEO, KINANA KUUNGURUMA VIWANJA VYA SHULE YA...

Abdulrahman KinanaNA BASHIR NKOROMO, TABORAChama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kuuteka mji wa Tabora, wakati Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana atakapohitimisha ziara yake ya siku kumi mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA KWA KISHINDO, MAELFU WAHUDHURIA...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara aliofanya leo jioni kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani mjini Tabora. Kinana amemaliza ziara yake ya siku 11...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AZIDI KUCHANJA MBUGA SINGIDA, LEO AFUNGA KAZI IKUNGI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi kwenye Uwanja wa shule ya sekondari Sebuka,  wilaya ya Ikungi mkoani Singida, leo, Mei 22, 2014 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE KUTOKA CHAMA CHA NRA WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Mwigulu Nchemba akizungumza na ugeni kutoka chama rafiki cha National Resistance Army cha Uganda waliofika Kujifunza Mambo mbalimbali ya Kiuongozi na Kiutendaji ndani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

URUSI NA CHINA ZA KWAMISHA AZIMIO LA KUIPELEKA SYRIA ICC

Na Mwandishi,New YorkSiku  chache baada ya   Bw.   Lakhdar Brahimi ,Mjumbe wa Maalum wa Katibu Mkuu na Muungano wa Nchi  za Kiarabu kujiuzulu na usulushi wa mgogo wa Syria.  Wananchi wa Syria wamepata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA: CHAMA KINA WAJIBU WA KUHAKIKISHA KINATIMIZA AHADI ZA 2010

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Iramba Magharibi wakati wa mapokezi katika kijiji cha Kiselya. Katibu Mkuu na msafara wake wameanza ziara katika wilaya ya Iramba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MKALAMA KESHO KUHUTUBIA MKUTANO MKUBWA...

Ahutubia Gumanga,Nduguti, Nkingu na Iguguno.wananchi wapenda hotuba zake kwani nikiongozi pekee anayezungumzia maendeleo na ukweli mtupu .Kesho kufanya mkutano mkubwa Singida mjini kwenye viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM KURINDIMA LEO MJINI SINGIDA CHINI YA KINANA

* Magufuli, Mwakyembe ndani ya nyumbaKINANANa Bashir Nkoromo, SingidaChama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kuuteka mji wa Singida kitakapofanya mkutano wa hadhara wa aina yake kwenye Uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA MKUTANO WA CCM YAPAMBA MOTO SINGIDA MJINI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikagua jukwaa la wageni waalikwa kwenye uwanja wa People's Singida. Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikagua jukwaa la kuhutubia ,wengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YATINGISHA SINGIDA MJINI, MAMIA WAHUDHURIA MKUTANO WA HADHARA VIWANJA VYA...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii, lwenye Viwanja vya Peoples mjini Singida, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI SINGIDA KWA KUZURU SINGIDA VIJIJINI LEO

 Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama,  katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, leo Mei 26, 2014....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, AKUTANA NA SUMAYE NA MARY NAGU KUCHAPA KAZI

 Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mapokezi yaliyofanyika katika kijiji cha Gehandu, wakati Kinana alipowasili katika Wilaya ya Hanang,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA HANANG AJIKAANGA MBELE YA KINANA NA NAPE...

 .Kinana na Nape wakimhoji vizuri Mwenyekiti wa Chadema wa Wilaya ya Hanang, Augustino Mayumba aeleze alikopeleka hati ya mkataba wa mnara wa simu wa Vodacom uliowekwa katika Kijiji cha Basouto ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ATINGISHA ENDASAK NA KATESH WIYALANI HANANG

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi mjini Endasaki, Hanang, jana, Mei 27, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MBULU KWA MAFANIKIO KUHUTUBIA BABATI LEO...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mbulu na kuwataka kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kimaendeleo kwa kushirikiana na serikali.Katibu Mkuu alisisitiza serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI WILAYA YA BABATI VIJIJINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Ndugu Vrajilal JituSon mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika Kata ya Magara wilaya ya Babati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA : VIONGOZI WA VIJIJI WAACHE KUUZA ARDHI BILA KUWASHIRIKISHA WANAKIJIJI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na wamasai katika kijiji cha Ayamango (Gallapo) ambapo alikuwa na kazi ya kufungua shina la Wakereketwa Wajasiriamali na kuhutubia mkutano wa...

View Article


NAPE ALIPOHUTUBIA MBULU (VIDEO)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AINGIA BABATI MJINI LEO, KUUNGUMA UWANJA WA KWARAA JIONI HII

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya Maji mkazi wa Kijiji cha Himiti Kata ya Bonga, wilaya ya Babati mjini, Zena Rashid, bada ya kuzindua mradi wa maji wa kata hiyo leo akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI BABATI KWA MKUFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA,...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Kwaraa mjini Babati, leo Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia mamia ya wananchi kwenye Uwanja...

View Article
Browsing all 22430 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>