MAWAKILI WA KUZINGATIA SHERIA ZA NCHI NA ZA KIMATAIFA
NA  LIDYA CHURI  - MAHAKAMA YA TANZANIAKaimu Jaji Mkuu  wa  Tanzania,  Mhe. Profesa Ibrahim  Juma, amewataka  mawakili  kufanya kazi kwa kuangalia sheria za nchi  na za kimataifa ili kuweza kuwasaidia...
View ArticleSHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA...
SHIRIKA la Posta na Simu chini ya uongozi mpya, imejinyakulia tuzo ya mshindi wa kwanza wa watoa huduma bora kutoka taasisi za umma na binafsi, zinazoshiriki maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya...
View ArticleCONGO DRC YAADHIMISHA UHURU WAKE DAR ES SALAAM
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, wakigonganisha Glasi ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya sherehe za miaka 57 ya...
View ArticleMFUKO WA PSPF WAKABIDHI MASHUKA KWA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA MNAZI MMOJA,...
Maafisa wa Mfuko wa PSPF kulia Faidha Khatau na Hazina Konde wakimkabidhi mashukaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dr Ali Salum Ali anayefutia ni Mkurugenzi Utawala na Uendeshaji Dr....
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAONYESHO YA 41 YA SABASABA JIJINI DAR
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali waliokuwa katika Ukumbi wa Mikutano wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 - Julai 8,...
View ArticleSHIRIKA LA POSTA TANZANIA LANYAKUA USHINDI WA KWANZA KWENYE MAONESHO YA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli (katikati), akimkabidhi Tuzo ya Ushindi wa Kwanza kwa Mashirika yatoayo huduma katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Ofisa Mtendaji Mkuu...
View ArticleBENKI YA DUNIA YAIPATIA TANZANIA MKOPO NAFUU WA BILIONI 180 KUBORESHA ELIMU
Benny Mwaipaja, WFM-DodomaBENKI ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 80 kwa ajili ya kusaidia mpango wa Serikali wa miaka 11 wa Elimu bila malipo kuanzia...
View ArticleSHAKA AZINDUA SEMINA ELEKEZI YA UJASILIA MALI KWA VIJANA WA WILAYA YA UBUNGO
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kuliapamoja na Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Kinondon ndg:Said Masanga wakionja bidhaa ya dagaa zinazookwa na wajasilia mali wadogowadogo wilaya ya...
View ArticleNIMEJIUZULU UDIWANI KWA TIKETI YA CHADEMA NIPATE UHURU WA KUUNGA MKONO...
NA BASHIR NKOROMODiwani wa Kata ya Murriet Wilayani Arusha mjini mkoani Arusha, kwa tiketi ya Chadema, Credo Kifukwe ajiuzulu nafasi yake hiyo ya Udiwani.Akizungumza kwa simu na Msimamizi Mkuu wa Blog...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR...
 Rais Dk. John Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakizindua jiwe la msingi la mradi wa Uboreshaji Bandari ya Dar es Salaam, katika hafla iliyofanyika leo eneo la Bandari...
View ArticleHATIMAYE BULEMBO AKUBALI SHINIKIZO, ACHUKUA FOMU KIMYAKIMYA LEO MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akikabidhiwa fomu ya na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo mkoa wa Dodoma, Gama Juma, leo.NA MWANDISHI WETU,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AENDA ETHIOPIA LEO KUMWAKILISHA JPM
Mama SamiaMakamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo jioni kwenda Addis Ababa, Ethiopia ambako atahudhuria Mkutano wa 29 wa Wakuu wa  Nchi na Serikali  wa Umoja wa Afrika (AU).Katika...
View ArticleMWANANCHI MWANZA APATA NGEKEWA YA KUMUUZIA KARANGA MTAANI RAIS DK. MAGUFULI, LEO
Rais Dk. John Magufuli akifurahi wakati ameshika mfuko wake wa karanga alizonunua kwa mwanadada mmoja anayefanya biashara ya kuuza kwa kutembeza mitaani karanga hizo katikati ya jiji la Mwanza. Rais...
View ArticleKAMPUNI YA ZURICH INSURANCE (EA) ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA SABASBA MWAKA HUU
 Muonekano wa Banda la Kampuni ya Zurich Insurance kwa nje katika Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba mwaka huu. Meneja wa Operesheni Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, Abdallah...
View ArticleSHAKA AWAFUNDA WANAOOMBA UONGOZI UVCCM
SHAKA HAMDU SHAKAVMM/U.80/8/Vol.II/10 Â Â Â 02/07/2017*TAARIFA MUHIMU KWA WAGOMBEA WA UVCCM KATIKA DHAMIRA Â YA KUJENGA HAIBA YA DEMOKRASIA YA KWELI NA KURUDISHA UPYA MAADILI NA NIDHAMU YA Â UCHAGUZI...
View Article