Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO AWASILI WILAYANI BIHARAMULO MKOANI KAGERA JIONI HII

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk Amani Kaborou wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, maofisa na wote waliomo kwenye msafara,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 5,2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO APOKEWA RASMI BIHARAMULO, LEO APIGA MKUTANO WA NDANI

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akivishwa skafu na Kijana wa UVCCM, wakati wa mapokezi rasmi katika Wilaya ya Bharamulo mkoani Kagera leo.  Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mko huo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO ASABABISHA MAAFA CHADEMA NGARA, 71 WATIMKIA CCM LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipokea kadia kutoka kwa Niniani Bakhari, aliyekuwa Kada machachari wa Chadema, ambaye alitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa ndani uliofayika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 6,2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA BULEMBO KYERWA NA KARAGWE MKOANI KAGERA LEO

Mdau hizi ni picha za matukio mbalimbali ya ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazszi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo katika Wilaya za Kyerwa na Karagwe mkoani Kagera, leo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 7,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR.SHEIN AONGOZA MAZISHI YA PROF.ISHAU Z'BAR

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein leo ameungana na mamia ya wananchi katika mazishi yaaliyewahi kuwa Mjumbe  wa Halmashauri Kuu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PEREIRA ASEMA ATAPAMBANA NA WALIOPANDIKIZWA KUPANGA SAFU KATIKA UCHAGUZI WA CCM

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi na watendaji wa zamani wa ngazi za matawi waliowania tena nafasi za uongozi katika uchaguzi unaoendelea hivi sasa ndani ya chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPIGANO BUNGENI IRAN

kundi linalojiita Dola la Kiislamu limedai kuhusika na mashambulizi mawili yaliyoteka kwa mfululizo leo hii mjini Tehran, Iran ambayo yanatajwa kusababisha vifo vya hadi watu saba na kuwajeruhi wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDEDENT DR. MAGUFULI THANKS KUWAIT FOR FUNDING CONSTRUCTION OF...

President of United Republic of Tanzania  John Pombe Magufuli has thanked government of Kuwait for its financial support for the construction of Chaya – Nyahua road in Singida region.The Kuwait...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO AFUNGA KAZI WILAYA YA MISENYI NA BUKOBA MJINI MKOANI KAGERA, LEO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Misenyi, Mabalozi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KATIKA HAFLA YA UZINDUZI NA UGAWAJI NA USAMBAZAJI WA VIFAA KWA...

Waziri Mkuu akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika  Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko Dar es Salaam jana  Mshereheshaji akiongoza uzinduzi huo Katibu Tawala wilaya ya Ilala,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 8,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIBA WA CISCO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Benny KisakaAbdulkarim Omary Mtiro, almaarufu Cisco  Mtiro, umelala Brother tangulia. Umelala usingizi. Usingizi ambao hautaamka wakati huu. Hautaamka brother kwa kuwa wanaolala usingizi huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO AMALIZA ZIARA MKOANI KAGERA KWA KUUNGURUMA NA WAJUMBE WA BUKOBA...

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akivalishwa Skavu alipokuwa kwenye mpaka wa Wilaya ya Bukoba Mjini na Wilaya ya Muleba, leo.Mjumbe wa Kamati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA...

 I.     UTANGULIZI1.          Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI APATA UGENI WA BALOZI WA MOROCCO NCHINI TANZANIA PAMOJA NA...

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah Benryane (kushoto) pale alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.Spika wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUNE 9, 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO AANZA ZIARA MKOANI GEITA, LEO APIGA MIKUTANO WILAYANI BUKOMBE

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo na msafara wake, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CCM na Jumuia zake mkoa wa Kagera, wakati wakiagana tayari kuingia katika mkoa wa Geita...

View Article
Browsing all 22409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>