TRA WATOA SEMINA YA MASUALA YA KODI KWA WANAHABARI TANZANIA
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo akizungumza kwenye Semina ya masuala ya kodi kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa...
View ArticleUVCCM MWAMBUGU ALIKUA NI MWANASIASA MZALENDO
Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akisain Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo  wakati wa ibada ya kuaga mwili...
View ArticleKMTC YAJIPANGA KUJENGA JIKO LA KUYEYUSHIA CHUMA
Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC), Mhandisi Adriano Nyaluke akiwaonyesha Waandishi wa habari (hawapo pichani) baadhi ya mitambo itumikayo kutengeneza vipuri...
View ArticleZIARA YA RAIS Dk.SHEIN KATIKA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na...
View ArticleKIVUKO CHA MV NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA
Na Theresia MwamiSerikali ina mpango wa kukifanyia matengenezo ikiwemo kukifunga injini mbili mpya, kivuko cha mv Nyerere kinachotoa ahuduma kati ya Bugorola na Ukara katika Kisiwa cha Ukerewe mkoa wa...
View ArticleMPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Lodrick Mpogolo, akizungumza na wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Manzese, wakati akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, ambapo leo...
View ArticleTAMWA YAJIVUNIA KUWAWEZESHA WANAHABARI 2470 KIMAFUNZO
Mwanachama wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Valerie Msoka ambaye pia aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho akizungumza kuwasilisha ujumbe wa TAMWA kwenye kongamano hilo...
View ArticleUKWELI KUHUSU MTI ULIODAIWA KUGOMA KUNG'OLEWA
George Binagi-GB Pazzo @BMGWakazi wa Jiji la Mwanza wameingia katika taharuki baada ya kutokea uvumi wa taarifa za mti kugoma kung’olewa katika eneo la Pasiansi ambapo kuna shughuli ya upanuzi wa...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AKUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA...
 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar...
View ArticleZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA WLAYANI TEMEKE, JIJINI DAR ES SALAAM,...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Lodrick Mpogolo, akizungumza na wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Mtoni, wakati akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, kwa Mkoa wa...
View ArticleHALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO YAJENGA VYUMBA 60 VYA MADARASA...
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo wa kushoto akimwongelesha jambo diwani wa Kata ya Mapinga ,Ibrahim Mbonde wa katikati aliyevaa kibagharashia ,wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya...
View ArticleSERIKALI IMEKUSANYA BILIONI 63 KUPITIA MTAMBO WA KUHAKIKI NA KUSIMAMIA HUDUMA...
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imekusanya shilingi bilioni 63,015,450,230 kwa kipindi cha Octoba 2013 mpaka Februari 2017 tangu kuanzishwa kwa...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AMTEUA MKUU WA WILAYA YA MANYONI KUWA MKURUGENZI MTEDAJI WA...
Ikulu, Dar es SalaamRais Dk. John Magufuli amemteua Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA AWAFUNDA POLISI WA KIKE KUTOKA SARPCCO
Na Mwandishi MaalumMakamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka askari polisi wanawake kutoka kwenye Shirikisho la Majeshi la Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) washiriki kikamilifu katika oparesheni...
View Article