Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22430 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUZINDULIWA KADI ZA B-PESA SASA KAMPUNI YAJA NA 'MSHAHARA CARD'

DAR ES SALAAM, TanzaniaMKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni  ya Smart Banking Solutions (SBS) Gustav Vermaas, amesema baada ya kampuni hiyo kuingiza sokoni hivi karibuni kadi yake ya B-PESA sasa ina mpango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNIC YAFANYA MAFUNZO YENYE TIJA YA UJASIRIMALI PEMBA

Mshehereshaji Bw. Salum Msellem kutoka Istiqama Radio akitambulisha meza kuu kwa washiriki wa mafunzo ya Ujasiriamali ya siku moja kwa Vijana Visiwani Pemba yaliyofanyika mwishoni mwa juma kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIA YA WAZAZI YA CCM KINONDONI WAENDA KUJINOA MOROGORO

 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA RAIS, MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA WANAWAKE AFRIKA...

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa CEO Clubs Network, Bwana Tareq Ahmed Nizami, mwandaaji mwenza wa Mkutano wa  Wanawake kutoka Afrika, Mashariki ya Kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA NA BINTIYE WAFA KWA KUPIGWA NA RADI GEITA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SABA MBARONI KWA MAUAJI YA MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM MWANZA

Marehemu Mabina alivyouawaMWANZA, TanzaniaWatu saba wanashikiliwa na Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kinyama ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM MOROGORO WAFAGILIA ZIARA ZA KINANA MIKOANI, NI KATIKA SEMINA YA VIONGOZI...

  Mgeni rasmi, Dorothy Mwamsiku akiingia ukumbini huku akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Kinondoni, Charles Mgonja. Mgeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINE YANUSURIKA AJALI YATUA GHAFLA UWANJA WA ARUSHA

Habari iliyotufikia kutoka Arusha leo ni kwamba Ndege ya Ethiopian Airline Boing 787 imetua ghafla katika Uwanja wa Ndege wa Arusha baada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa  Kilimanjari (KIA)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA YA VIONGOZI WA JUMUIA YA WAZAZI YA CCM WILAYA YA KINONDONI YAENDELEA...

 Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa akizungumza katika semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM wilaya ya Kinondoni, alipoungana nao kwenye semina hiyo leo, mkoani Morogoro. Pamoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. FENELLA AFUNGA SEMINA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI ILIYOFANYIKA MOROGORO

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Waziri wa Habari, VIjana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Kawe,  Benjamin Joseph,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIKO KWA MAKUNDI MBALIMBALI KUPENDEKEZA MAJINA YA WATAKAOTEULIWA KUWA...

UNITED REPUBLIC OF TANZANIATANZANIA INFORMATION SERVICES PRESS RELEASE               P.O. Box 9142, Dar es Salaam, Tel:  2110585, 2122771/3, Fax: 2113814, e-mail: Date:  20/12/2013TAARIFA KWA VYOMBO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE: NI SAHIHI MAWAZIRI KUWAJIBISHWA

*Asema ni fundisho kwa watakaolala*Ataka hatua zaidi zichukuliwe*ziara za Kinana zimesaidia sana kutatua kero*Bado moto wa ziara hizo haujapamba*2015 CCM kurejesha viti  vya ubunge, Udiwani vilivyoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA STEVEN MHINA DUNGUMALO WA UHURU FM

Huyu ndiye, Steven Mhina Dungumalo, kijana mwenye umri wa miaka 40 tu, anatangaza kipindi cha Hellow Tanzania cha saa 12- saa 3 asubuhi @ siku na vipindi kama cha enzi hizo kinachohusu uchambuzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR SHEIN, SADIFAH WAFUNGUA MATEMBEZI YA VIJANA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA...

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Shein,Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana (UVCCM) Ndg Sadifah Juma wakiongoza matembezi ya Vijana.Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WAMPONGEZA RAIS KIKWETE KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI WANNE

MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETENA BASHIR NKOROMOUMOJA wa Vijana wa CCM, Kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, umempongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwa kuwavua uongozi mawaziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHOLAGE AFUNGA SEMINA YA UVCCM MABIBO, AKABIDHIWA PICHA ZA NAPE, DK. FENELLA...

 MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mabibo, wilaya ya Kinondoni, Zakaria Kimemeneki (kulia), akikabidhi zawadi ya picha ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kwa Katibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIWANI WA CCM AFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI YAKE SHINYANGA

SHINYANGA, Tanzania DIWANI wa Kata ya Nyida wilayani Shinyanga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Shindiko Masele(40) amekufa papo hapo baada ya kupinduka na pikipiki aliyokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EWURA YATANGAZA BEI MPYA YA UMEME

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi (kulia) akitangaza bei mpya ya umeme jana..TAARIFA KAMILITarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENGENEZAJI SABA WA MAMBOMU YA KIVITA WASHIKWA KATIKA NYUMBA YA IBADA

 Na Oscar Assenga,Korogwe.JESHI la Polisi mkoani  hapa kwa kushirikiana na wakazi wa Kijiji cha Maili kumi wilayani Korogwe wamefanikiwa kuwakamata watu saba kwa tuhuma za kuhusika na kuweka mabomu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA APOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 44

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama pikipiki mbili kati ya 44 zilizotolewa msaada kwake na  Ubalozi wa China  nchini pamoja na Kampuni ya  Futang ya China katika  makabidhiano yaliyofanyika...

View Article
Browsing all 22430 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>