HATUTAKUBALI TLS KUJIINGIZA KATIKA SIASA-MWAKYEMBE
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Mhe. Dkt Harrisson Mwakyembe amesema Serikali haiwezi kuona Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinajiingiza katika siasa na kama TLS wanataka hivyo, basi...
View ArticleDkt.SHEIN:NI MUHIMU NCHI WA WANACHAMA WA IORA KUIMARISHA USHIRIKIANO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuimarisha mashirikiano kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (IORA),...
View ArticleWIZARA YA ARDHI YABORESHA OFISI ZA KANDA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi, Naibu wake Mhe. Dkt. Angeline Mabulla, Katibu Mkuu; Dkt Yamungu Kayandabila na Viongozi wengine wakuu wa wizara wakikagua magari ya...
View ArticleMASAUNI ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA ABEID AMANI KARUME, AAGIZA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, wakati wa ziara ya kukagua udhibiti wa uingiaji wa Dawa za Kulevya Visiwani humo,...
View ArticleDC GONDWE APOKEA MSAADA WA MBEGU KUTOKA WORLD VISION
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe (wa kwanza kushoto) pamoja na  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. William Makufwe wakipokea mbegu za mahindi ya njano kutoka kwa...
View ArticleSIKU YA WANAWAKE DUNIANI, WAZIRI KAIRUKI AONGOZA KUFANYA USAFI MUHIMBILI
Waziri Kairuki (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) leo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uuguzi wa...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA PICHA MKOANI SINGIDA
Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto Ummy Mwalimu akikata utepe kuzindua kituo na kiwanda cha kuongeza thamani mazao ya nafaka cha Ititi kinachomilikiwa na vikundi vya akina mama...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA YAKE MDOGO MHE JAKAYA KIKWETE
Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohudhuria mazishi ya Bibi. Nuru Halfan Kikwete ambaye ni mama mdogo wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne mheshimiwa...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AREJEA NYUMBANI LEO AKITOKEA INDONESIA
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  kuagana na Mhe, Airlangga Hartarto ambae ni miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia  katika...
View ArticleUSIKU WA WANAWAKE WANAOFANYA KAZI MGODI WA DHAHABU ACACIA BULYANHULU KAHAMA
Hapa ni katika ukumbi wa Jensen Complex Hotel uliopo Kakola katika halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga ambapo usiku wa Machi 08,2017 ,wanawake wanaofanya kazi mgodi wa dhahabu wa...
View ArticleKIKAO MAALUM CHA BARAZA KUU LA UVCCM CHA RIDHIA NA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA...
Kaimu katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika kikao cha kamati ya Utekelezaji kilichoketi mapema ya leo kabla ya kikao cha Baraza kuu Maalum la Uvccm Taifa lililofanyika katika...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, RAIS DK MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika leo...
View ArticleUPELELEZI KESI YA KITILYA WASUBIRI USHAHIDI KUTOKA ULAYA
Watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi Miss Tanzania wa Zamani Shose Sinare na kamishna mstaafu wa TRA, Harry Kitilya n Sioi Sumari wakiwa katika kizimba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA NJIA YA MSALABA KATIKA...
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine kupokea Ekaristi  Takatifu wakati wa misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Ijumaa Machi...
View ArticleWANAWAKE KUMI AMBAO NI MASHUHURI TANZANAIA
Na Jumia Travel TanzaniaKila ifikapo Machi 8 dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake ambapo nchi na taasisi mbalimbali huwa na shughuli kadha wa kadha katika kusherehekea siku hii. Kwa kawaida...
View Article