POLEPOLE AKUTANA NA MKUU WA KITENGO CHA SIASA NA UCHUMI KUTOKA UBALOZI WA...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uchumi na Siasa katika Ubalozi wa Marekani hapa nchini, Marilyn Gayton (kushoto), Katika Ukumbi wa Ofisi...
View ArticleZIARA YA POLEPOLE KWENYE VYOMBO VYA HABARI, LEO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo amefanya ziara ya kikazi katika Vyombo vitatu vya Habari vya Kampuni za Uhuru Publications Ltd, Wachapishajiwa Magazeti ya Uhuru,Mzalendo na...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AFUNGUA RASMI AWAMU YA KWANZA YA MIUNDOMBINU NA UTOAJI...
Rais Dk. John Magufuli akipungia mkono na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Makhtar Diop wakiwa katika basi linalotumika katika utoaji huduma ya Usafiri wa Haraka(BRT), baada ya kukagua...
View ArticleNAIBU WAZIRI MASAUNI ATINGA TUNDUMA MPAKANI KUKAGUA SHUGHULI ZA UINGIAJI NA...
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisaini daftari la wageni baada ya kuwasili wilayani Momba Mkoani Songwe, kwa lengo la kutembelea na kukagua uingiaji na...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKAKUMI YA KAMPUNI YA MAGAZETI YA TANZANIA STANDARD NEWPAPER
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiwa ameongozana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz wakielekea katika ukumbi ambako...
View ArticleSHAKA AONGOZA MAMIA KUMZIKA ALLY NASRI MASASI MKOANI MTWARA
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka pamoja na Vijana na Viongozi mbali mbali wa Chama Wakibeba Mwili wa Marehemu Ally Seleman aliyekuwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ludewa Kaimu Katibu Mkuu wa...
View ArticleMWENYEKITI MSTAAFU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JAJI DAMIAN LUBUVA AKABIDHI...
MAKABIDHIANO: Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI
Benjamin Sawe-Maelezo.Rais John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Sheria nchini zitakazofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao katika viwanja vya Mahakama jijini...
View ArticleVIJANA WA CCM WILAYA YA MBEYA MJINI WAADHIMISHA MIAKA 40 YA CHAMA CHA...
Vijana wa chama cha mapinduzi (Uvccm) Wilaya ya Mbeya mjini waadhimisha mika 40 ya chama cha mapinduzi Ccm kwa kufanya maandamano ya amani kutoka ofisi za Ccm Mkoa wa Mbeya mpaka eneo la Kabwe na...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AELEKEA ADDIS ABABA, ETHIOPIA, KWENYE MKUTANO WA 28 WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo...
View ArticleJUMUIA YA WAZAZI YA CCM KINONDONI WAADHIMISHA MIAKA 40 YA CCM KWA KUFANYA...
Juuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, jana, Januari 28, 2017, imeadhimisha miaka 40 ya kuzaliwa kwa CCM, kwa kufanya usafi na kutoa vifaa mbalimbali kweye zahanati ya Kibamba, Ubugo jijini Dar es...
View ArticleBALOZI SEFUE ATEULIWA KUINGIA JOPO LA WATU MASHUHURI AFRIKA KATIKA MPANGO WA...
Mwanadiplomasia mahiri wa Tanzania aliyepata pia kuwa Katibu Mkuu Kiongozi-Ikulu, Balozi Ombeni Sefue ameteuliwa kuwa Mtanzania wa kwanza kuingia katika Jopo la Watu Mashuhuri katika Mpango wa Afrika...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AHUDHURIA KIKAO CHA UMOJA WA AFRIKA (AU) MJINI ADDIS ABABA...
Ikulu, Dar es SalaamRais wa Dk. John Magufuli, leo Januari 29, 2017 ameanza kuhudhuria mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) unaoendelea Mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.Taarifa...
View ArticleSABODO AMTEMBELEA NYUMBANI KWAKE, WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA,...
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo alipofika kwenye makazi ya Waziri Mkuu huyo, Oysterbay jijini Dar es salaam, kumtembelea, leo, Januari...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA...
Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa Nchi mabalimbali katika picha ya pamoja mbele ya jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama la Julius Nyerere lililopo Makao Makuu ya Umoja wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU, JAN 30, 2017, NDANI NA NJE YA TANZANIA
KUONA MAGAZETI MOJA BAADA YA LINGINE/>BOFYA HAPA
View Article