Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MWINYI, MKAPA KUONGOZA MATEMBEZI YA 'WALK FOR ELPHANT DAR ES SALAAM...

Na Frank Shija-MAELEZO.Marais wastaafu Benjamin Mkapa na Ali Hassan Mwinyi, watakuwa wageni mashuhuri katika matembezi ya hiari ya kilomita tano yaliyopewa jina la 'Walk for Elephant Dar es Salaam...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMAYE ALIKUWA ANAOTA AU ALIKOSA MANENO YA KUZUNGUMZA?

SUMAYE ALIKUWA ANAOTA AU ALIKOSA MANENO YA KUZUNGUMZA? Na Charles CharlesWaziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kitashinda uchaguzi mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANASIASA ACHENI MZAHA KUIOMBEA TANZANIA BAA LA NJAA

Hakuna ubishi kwamba baada ya Rais Dk John Magufuli kuonyesha kusimamia vema rasilimali za nchi na maadili ya utendaji kazi kwa watumishi na watendaji wa umma, sasa wapinzani wamebaki mikono mitupu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA AWATAKA WATANZANIA KULINDA NA KUTUNZA MBUGA ZA WANYAMA

Na Daudi Manongi-MAELEZORais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa amewataka watanzania kulinda na kutunza mbuga za wanyama kuwa ni urithi wa kila Mtanzania na kuzitaka nchi mbalimbali kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM ILIPOIBUKA KIDUME KWA SIMBA NA KUTWAA MAPINDUZI CUP 2017, JANA MJIZNI...

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi 2017, Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa wa kombea hilo, kufuatia kuifunga Simba bao 1-0 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU: MAPAMBANO YA SERIKALI DHIDI DAWA ZA KULEVYA YAPO PALEPALE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati), akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Familia ya Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Katibu Tawala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMIA: WANAOZINGUA JITIHADA ZA KUIJENGA CCM MPYA WASHUGHULIKIWE KIKAMILIFU

Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa mkoa wa Kaskazini A, Unguja wakati wa Kufungua Mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA NDANI NA NJE YA TANZANIA LEO JAN 15, 2017

Kuona magazeti yote moja moja, tafadhali/>BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA UHURU AMINA ATHUMANI AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI MJINI ZANZIBR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA NDANI NA NJE YA TANZANIA, LEO JANUARI 16, 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA ALIYEKUWA MWANDISHI WA UHURU, AMINA ATHUMANI WAGWA LEO JIJINI DAR ES...

Waombolezaji wakitoa ndani sanduku lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Amina Athumani,...

View Article

MAPITIO YA MAGAZETI LEO JANUARI 17, 2017 TBC1

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOSHIRIKI KATIKA MRADI WA WANAWAKE KWENEYE USUKANI (WOW) WAPEWA MAFUNZO YA...

Martin Gabone-Mkurugenzi Mkuu Mradi wa Wanawake Kwenye Usukani (WOW) akifungua semina ya mafunzo ya haki za wanawake wanaoshiriki katika mradi huo iliyofanyika mwishoni mkwa wiki Kinondoni jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLEPOLE: KUTANGAZA TAARIFA ZINAZOSABABISHA TAHARUKI KATIKA NCHI NI KOSA LA...

*AWASIHI WANASIASA KUJIKITA KATIKA SIASA SAFI NA UONGOZI BORA*WASITUMIE UONGO NA SHIDA ZA WATU KUSAKA UMAARUFU WA KISIASANa Bashir NkoromoChama Cha Mapinduzi (CCM) kimewasihi viongozi wa vyama vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JANUARI 18, 2017

KUONA MAGAZETI YOTE MOJA BAADA YA LINGINE, TAFADHALI/>BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEYO: SERIKALI NDIYO YENYE MAMLAKA YA KUTANGAZA NJAA

Na Lilian lundo- MAELEZOSerikali ndiyo yenye mamlaka ya kutangaza ikiwa nchi inakabiliwa na janga la njaa na wala si taasisi, asasi za kiraia au wanasiasa.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Chama cha UDP...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FES YA UJERUMANI YAMFAGILIA RAIS DK. MAGUFULI KWA MIKAKATI YA KUINOA UPYA CCM

NA BASHIR NKOROMOAsasi ya Fredrich Ebert Stiftung (FES) ya Ujerumani, imeelezea kuvitiwa kwake na hatua anazofanya Rais Dk. John Magufuli, kukifanya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa kipya zaidi.Taasisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOGORO GAMBIA WACHUKUA SURA MPYA, NIGERIA YAINGIA KILINGENI

Yahya JammehJeshi la Nigeria limetangaza kuwa limetuma askari 200 na ndege kadhaa za kivita katika nchi jirani na Gambia ya  Senegal kwa ajili ya kutatua mgogoro wa uongozi uliosababishwa na uchaguzi...

View Article

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA DENMARK, MZEE MKAPA, LEO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 Januari, 2017 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Martin Bille Herman, Ikulu Jijini...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images