Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUAI AWATAKA WANA CCM ZANZIBAR SUALA LA USAFI WA MAZINGIARA KULIFANYA KUWA...

Na Is-haka Omar, Zanzibar.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wananchi, wanachama, viongozi na watumishi wa Chama na Jumuiya zake  Zanzibar, kulifanya suala la usafi wa mazingira kuwa sehemu ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AWATAKA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA KUONDOA UTITIRI WA KODI...

Na Daudi Manongi - MAELEZORais Dk. John amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuondoa utitiri wa kodi uliopo kwenye mazao ili wakulima waweze kunufaika kutokana na kujiongezea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JANUARI 3, 2017

MAGAZETI YA LEO JANUARI 3, 2016/>BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YAWAPIGA MSASA WATUMISHI OFISI YA RAS DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, (kulia), akipeana mikono na Katibu Tawala Msaidizi (anayeshughulikia masuala ya serikali za mitaa), jijini Dar es Salaam, Bi. Merry...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI HAMAD RASHID: VYAMA VYA SIASA VINA NAFASI KUISHAURI SERIKALI YA...

Na Idara ya Habari - MAELEZOWaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha Alliance for Democraytic Party – ADC, Wziri Hamad Rashid Mohamed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA: NDOA ZA UTOTONI BADO ZIPO IRINGA

 hawa ni baadhi ya wananchi wa kabila la kimasai ambalo linakaliwa na tuhuma za kuozesha wasicha wenye umri mdogo.hili ni jengo la shirika lisilo la kiserikali la Ilula Ophan program (IOP)Na Fredy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA AZUNGUMZA NA WATUMISHI UVCCM MAKAO MAKUU LEO

  ''Tuongeze bidii ya kazi kila mmoja katika nafasi yake nilazima afahamu na kutambua ya kwamba kila mfanyakazi wa jumuiya katika eneo lake, mchango wake na juhudi za zake zinahitajika sana hasa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MWISHO YA UZALENDO YA HAYATI MZEE KAWAWA AKISHEREHEKEA MIAKA 78

NA HAMISI SHIMYE-UPL“Historia ya Maisha yangu ni ndefu kama ilivyokwisha elezwa. Nilizaliwa Kijijini, nikasoma Kijijini na mjini na nikafanya kazi vijijini na mjini. Katika Maisha yangu yote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANIAWATEMBELEWA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO, AWATAKA WAHUDHURIEMIKUTANOYAKE

 Mbunge wa jimbo la Chalinze, Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani Mwanasheria Ridhiwani Kikwete akizungumza na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Ruvu Darajani alipokwenda kwa ajili kusikiliza mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI LEO JAN 4, 2017 NDANI NA NJE YA TANZANIA

MAGAZETI YOTE YA LEO JAN 4, 2017/>BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM WILAYA YA MONDULI, MKOANI...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo ameongoza mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Jacob Nkomola, yaliyofanyika Mtoni Kijichi, Temeke Dar es Salaam.Katika mazishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NA UJUMBE WAKE MZITO WAENDA ZANZIBAR LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi waandamizi wa CCM katika boti ya  wakati wakiwa safarin kwenda Zanzibar kwenye uznduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la  Dmani,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NA UJUMBE WAKE MZITO WAWASILI ZANZIBAR, KUZINDUA LEO KAMPENI ZA...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (watano kulia) na ujumbe wake wa viongozi waandamizi kutoka makao makuu ya CCM, wakiwa kwenye chumba cha nahodha walipokuwa wakisafiri kwa boti ya mwendokasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE DIMANI,...

Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK SHEIN AZINDUA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAZIWA, FUMBA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI LEO JANUARI 06, 2017, NDANI NA NJE YA TANZANIA

KUYAONA VIZURI MOJA MOJA/>BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JANUARI 07, 2017, NDANI NA NJE YA TANZANIA

MAGAZETI ZAIDI/>BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AZINDUA MATEMBEZI YA UVCCM YA...

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimia baadhi ya viongozi wa UVCCM, baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa matembezi ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwenye Viwanja vya Donge,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI LEO JANUARI 08, 2017, NDANI NA NJE YA TANZANIA

MAGAZETI ZAIDI/>BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU CCM NA M-NEC WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA(MB)...

Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya Mganda ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>