Quantcast
Channel: CCM Blog
Browsing all 22430 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA: CCM HAITORUBUNIWA KWA AJILI YA KUPATA KURA

 Balozi Hilda Komba wa shina namba 9 Tawi la Amani Makolo akimkaribisha nyumbani kwake Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na wanachama...

View Article


KINANA AZUNGUMZIA VIONGOZI WASIO NA SIFA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANZA ZIARA YA NYASA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Rudisha baada ya kumsimamisha na kumtaka asalimiane wananchi . Ujumbe unaomtaka Katibu Mkuu wa CCM Ndugu asimame kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AVUNA WANACHAMA KIBAO KUTOKA UPINZANI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya jinsi ya kutumia vifaa vya maabara katika kufanikisha kutambua kemikali kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne Erasto Ndumba na Stella...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI NYASA, AKWEA MELI KWENDA KYELA KUENDELEA NA...

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, asubuhi hii amemaliza ziara yake katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na kuanza safari ya kwenda Kyela ambako ataanza ziara katika mkoa wa Mbeya. Pichani, Kinana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI KYELA BAADA YA SAFARI YA ZAIDI YA SAA 24 KWA MELI KUTOKA...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi, baada ya kuwasili katika bandari ndogo ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24,2013. Katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA YATIKISA KYELA, MAELFU WAFURIKA MIKUTANO YAKE, AKATA...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika kata ya Ipinda, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, alipowasili katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WATAKIWA KUTUMIKIA WANANCHI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari ya Mwakaleli. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akikata ubao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWEKA HISTORIA YA KIPEKEE KATIKA ZIARA YAKE WILAYNI RUNGWE

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake (katikati) wakiwa wamezungukwa na umati wa wananchi, Kinana alipokuwa akizindua Shina la Wakereketwa Wajasirimali wa Kikundi cha Amani na Maendeleo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA ILEJE WAIKATAA MBOLEA YA MINJINGU

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi ya wodi y a wazazi ya kituo cha afya kata ya Lubanda wilayani Ileje. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUNIA MZOBORA KUZIKWA MCHANA HUU MAKABURI YA KISUTU, DAR ES SALAAM

DUNIA MZOBORADAR ES SALAAM, TanzaniaMHARIRI Mwandamizi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Dunia Mzobora, ambaye amefariki dunia jana, anazikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es SalaamHabari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA NA MSAFARA WAKE WATINGA WILAYANI MOMBA LEO ASUBUHI

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakisalimiana na viongozi wa wilaya ya Momba mkoani Mbeya, katika mpaka wa wilaya hiyo na Ileje leo saa 5 asubuhi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KINANA TUNDUMA WAFUNIKA, MAELFU WAJITOKEZA, NAPE ABEBWA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutumia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaka, mjini Tunduma, wilayani Momba, jioni hii, Nov 28, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA WILAYANI CHUNYA MOTO, AMZOA KATIBU WA CHADEMA WA WILAYA HIYO,...

 Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Bryson Mwasimba akionbyesha kadi yake ya chama hicho, kabla ya kumkabishi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), alipotangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA JIMBO LA SONGWE WILAYANI CHUNYA YAFANA, AFUNGUA NA KUSHIRIKI...

 KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kati) na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha_rose Migiro, katika ujenzi soko la Kata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AITEKA MBARALI, RUJEWA YARINDIMA, MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA...

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa shue ya Msingi Rujewa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWASILI MBEYA VIJIJINI MCHANA HUU

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi zahanati ya Shamwengo,Kata ya Inyala, Mbeya Vijijinikiwa ni shughuli yake ya kwanza kufanya baada ya kuanza ziara yake mchana huu katika wilaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMTEUA DK. ASHA-ROSE MIGIRO KUWA MBUNGE, KINANA, NAPE NA KANDORO...

Dk. Asha-Rose MigiroDAR ES SALAAM, TanzaniaRais, Dk. Jakaya Kikwete amemteua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Maifa (UN) Mstaafu, Dk. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA MBEYA VIJIJINI, ATINGA MBEYA MJINI LEO ASUBUHI,...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Maombi, Kata ya Mbalizi, Mbeya Vijijini, jana, Des 3, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAFUNIKA MBEYA MJINI JIONI YA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika  mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni Katibu Mk Maelfu ya...

View Article
Browsing all 22430 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>