Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA:RAIS MAGUFULI NA KASI YA UKUAJI WA UCHUMI.

RAIS JOHN POMBE MAGUFULINa:Nassir BakariMijadala mingi mitandaoni na sehemu mbalimbali kwenye mikusanyiko ya watu kwa siku za hivi karibuni ni kuhusu uchumi wa Tanzania na wanasiasa wengi kwa makusudi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA KIMATAIFA YAPITISHA AZIMIO KUHUSU WAKIMBIZI NA WAHAMIAJI

Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano  wa 71  wa Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa,  Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Waziri Augustine Mahiga (Kulia), akipewa taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AMWONDOA MWENYEKITI BODI YA UDHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

RAIS MAGUFULIDar es SalaamRais Dk. John Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo.Taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAN KI MOON AISIHI TANZANIA KUTOCHOKA KUZISAIDIA NCHI ZENYE MIGOGORO

Katibu Mkuu Ban Ki Moon akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika  MasharikiDk.Augutine Mahiga ambaye anamwakilisha Rais John Magufulikatika Mkutano wa 71 wa BarazaKuu la Umoja wa MataifaNa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA UHURU MEDIA GROUP INAYOSIMAMIA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM YAJIUZULU.

BODI YA UHURU MEDIA GROUP INAYOSIMAMIA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM YAJIUZULU.Bodi ya Uhuru Media Group inayosimamia vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambavyo ni Uhuru Publications Limited...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HANDENI.MH GONDWE AFANIKIWA KUTATUA MGOGORO WA MPAKA ULIOKUWA UKIVIHUSISHA...

 Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh. Gdwin GOndwe akisalimiana na mkazi wa kijiji cha nyasa. Mkuu waa Wilaya ya Handeni,Mh Godwin Gondwe  Jana alifanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliokuwa ukivihusisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA HANDENI,MH GONDWE APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA BARUTI KWA WACHIMBAJI...

Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Gondwe akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini (hawapo pichani) katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni, pembeni ni Afisa madini mkazi Bw. makiyao akifuatilia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI...

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Bw.Kailima Ramadhani akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene kwenye banda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MAGAZETI YA UHURU NA MZALENDO NA UHURU FM YAJIUZULU LEO

Dar es salaam,Bodi ya Uhuru Media Group inayosimamia vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambavyo ni Uhuru Publications Limited (UPL) wachapishaji wa Mazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DARAJA LA SALENDER KUJENGWA HADI COCO BEACH BAHARINI

Rais Dk. Magufuli akionyeshwa akiwa na Balozi wa KoreaSong Geum Young-Young, Ikulu, Dar es Salaam, leoDar es SalaamUJENZI  wa Daraja la Salender litakalounganisha eneo la Coco Beach na eneo Agha Khan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA HABARI WA SIKU NYINGI SIMON KIVYAMO AFARIKI DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA UONGOZI WA KISIASA NA UTETEZ

 Rais  Mstaafu  Jakaya Kikwete  akipokea Tuzo ya  Uongozi wa Kisiasa na  Utetezi kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa  Speak Up Afrika  Bi Kate  Campana,  hafla iliyofanyika  Alhamis jana ,  New York...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAZINDUA PROGRAMU YA UTOAJI WA ELIMU YA MPIGA KURA KWA KUWAPATIA ELIMU...

 Mkurugenzi Idara ya Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Emmanuel Kawishe akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songe nje kidogo ya mji wa Musoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AKUTANA NA KINANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTAAFU JESHI LA MAGEREZA WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM

Wastaafu wa Jeshi la Magereza wakiwasili katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga, Dar es Salaam wakiwa wameongozwa na Kamishna Mstaafu wa Magereza Deonice Chamulesile wakielekea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-ZANZIBAR AIPA MAELEKEZO KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA...

Na Is-haka Omar, Zanzibar.KAMATI ya Siasa ya CCM Mkoa wa Magharibi kichama imeagizwa kukagua na kusimamia vizuri utekelezaji wa ilani ya Chama ya Mwaka 2015/2020 inayotekelezwa  katika majimbo ndani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI-NEC, YATAKA MWALIMU NYERERE KUENZIWA KWA VITENDO

 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani akiwasili nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Butiama Musoma akiwa ameambatana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJIJI 24 WILAYANI KASULU KUPATA UMEME WA REA AWAMU YA PILI HADI MWISHONI MWA...

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wapili kulia) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Mugombe wilayani Kasulu. Kulia ni Mbunge wa Kasulu, Daniel Nsanzugwanko na kulia kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJI LA NEW YORK...

 Kamishna wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Rais Mstafu Jakaya Kikwete, akihutubia maelfu ya wananchi katika jiji la  New York, Marekani, wakati wa tamasha la 'Global Citizen Festival' lililofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKALA:TANZANIA CHINI YA MWAMVULI WA RAIS MAGUFULI

RAIS JOHN POMBE MAGUFULINa Nassir BakariUongozi ni hali ya muhusika mmoja kuwa na dhamana, madaraka na uwezo wa kuwaongoza wengine. Ili uwepo uongozi lazima awepo kiongozi na wanao ongozwa. Kiongozi...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images