Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE POOL OF SILOAM: SIYO KUPATWA KWA JUNA NI 'JUA LA HAKI'

Na Mwandishi MaalumTukio la kupatwa kwa jua lililotarajiwa na Dunia na kujiri katika mji mdogo wa Rujewa, Mbalali mkoani Mbeya nchini Tanzania, limeacha simulizi na dhana katika maono na imani...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA HANDENI GODWIN GONDWE ASULUHUSHA MGOGORO WA MPAKA ULIODUMU KWA MUDA MREFU

 Mkuu wa wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto  akisoma ramani ya mwaka 2007 akiwa na  viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gani.DC Gondwe  amefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASWALI NA MAJIBU BUNGENI LEO

Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzania na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe (MB) akimuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) kuhusu hali ya uchumi nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC YAMCHOMOA MPANGAJI WAKE MWINGINE KWA KUDAIWA MILIONI 96

Wafanyakazi wa Kampuni ya Kimbembe Auction Mart wakitoa Samani za kampuni ya Centre Point Limited Mpangaji wa Shirika la Numba NHC Katika nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa wa Indira Ghandhi jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA DHARULA CHA WAKUU WA CHI ZA AFRIKA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani  kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGA UWASA YAPATA TUZO YA UBORA KWA MAMLAKA HAPA NCHINI

Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto akipokea tuzo ya mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) ya ubora wa kimataifa,kupitia hati ya ISO 9001:2015 ulitokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA BUNGENI:WAZIRI MKUU MHESHIMIWA KASIM MAJALIWA ASEMA SERIKALI HAIJALALA

WAZIRI MKUU MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWANa Nassir Bakari.WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa  Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano haijalala na haijashindwa kuongoza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE COSATO CHUMI AANZA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE SHULE ZA JIMBO

Bw Donsun Lee ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya Kutoka Korea ya Serving Friends International akikagua pump kwenye moja ya kisima kwenye shule ya Msingi Makalala, anayetizama ni Mbunge wa Mafinga Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WHO YATOA MSAADA WA DAWA ZA KUSAFISHA MAJI KWA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Mwagiliaji, Mbogo Mfutakamba akibadilishana hati na Mwakilishi wa Shirika la Afya Dunia(WHO) Dk. Richard Banda, Dar es salaam, leo.Na Sheila Simba, MaelezoSerikali kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAOMBOLEZA VIFO NA MAJERUHI WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA , MWANZA NA...

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za janga la tetemeko la ardhi lililotokea jana tarehe 10/09/2016 katika Mkoa wa Kagera na baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHAMA CHA MPLA YA ANGOLA.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndg Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg Pindi Chana wamekutana na high level delegation kutoka Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA EID EL HAJI, TEMEKE, LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Sheikh Nurdin Kishiki   (kulia) baada ya  kuwasili kwenye  uwanja wa Mwembe Yanga , Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016 kushiriki  katika  Sala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NAPE AKABIDHIWA RASMI MAGETI YANAYOTUMIA MASHINE ZA TIKETI ZA...

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiingiza kadi  katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki tayari kuingia katika Uwanja wa Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA MAPINDUZI CHAWATAKIA WAISLAM NA WANANCHI WOTE SIKUKUU NJEMA YA EID...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA, PINDI CHANA WAKUTANA NA UJUMBE WA VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA CHAMA...

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Ndugu, Abdulrahman Kinana (wanne kushoto), na Katibu wa Halmashauri Kuu, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Pindi Chana (wa sita kushoto) wamekutana na Ujumbe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA AWASILI ZAMBIA

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana huu tayari wa kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUKUU ZA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI-05

Na Nassir BakariRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, ni kiongozi ambaye watanzania tulikuwa tunamsubiri kwa muda mrefu.Mara nyingi anapohutubia huwa anatoa kauli za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Uhuru Kenyatta Aahidi Kutoa Msaada wa Magodoro na Mablanketi kwa...

Na: Nassir BakariRais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta jana amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kumpa pole na kuahidi siku ya Jumanne,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. PINDI CHANA AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA TAASISI YA GLOBAL PARTNERS...

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana, akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Partners Governence, Greg Power kabla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ACHANGISHA ZAIDI YA BILIONI 1.4 KWENYE HARAMBEE YA KUSAIDIA...

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akizungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na jumuia ya wafanyabiashara kwenye harambee ya kuchangisha michango kusaidia walioathirika na tetemeko ....

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images