Quantcast
Channel: Official CCM Blog
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMA: WATANZANIA YAPUUZENI MAANDAMANO YA CHADEMA SEPTEMBA MOSI, CHAPENI KAZI...

Augustine MremaNa Ismail Ngayonga, MAELEZODar es SalaamWAZIRI wa zamani wa mambo ya ndani ya nchi, Augustino Mrema amewataka Watanzania kuyapuuza  maandamano ya Septemba Mosi mwaka huu yaliyoandaliwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MSEKWA AWAASA WATANZANIA KUEPUKA KUFUATA MKUMBO KATIKA MAMBO YA KISIASA

PIUS MSEKWANa Fatma Salum na Sheila Simba, MAELEZO  Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pius Msekwa amewaasa watanzania kuacha kufuata mkumbo wa kisiasa badala yake watii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE: WATANZANIA TUJEMGE TABIA YA KUWATIA MOYO WANAMICHEZO WETU

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akimkabidhi cheti Mwanariadha Alphonce Simbu ambaye ni mshindi wa tano katika Mashindano ya Olimpiki yaliyomalizika hivi karibuni mjini Rio,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAFUNGIA VITUO VYA REDIO VYA MAGIC FM NA REDIO 5 YA ARUSHA KUANZIA LEO

WAZIRI NAPENa Bashir Nkoromo, Dar es SalaamSerikali imevifungia kwa muda usiojulikana vituo vya Dadio vya Radio 5 ya Arusha na Magic FM ya Dar es Salaam, kwa kudaiwa kukiuka maadili na kanuni za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITUO VYA REDIO MAGIC FM NA RADIO 5 VYAFUNGIWA KWA MDA USIOJULIKANA NA WAZIRI...

Na Nassir Bakari 0713 311 300WAZIRI wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye amezifungia Radio Magic Fm ya Dar es Salaam na Radio 5 iliyopo jijini Arusha kwa muda usiojulikana kutokana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF WAMSIMAMISHA UANACHAMA PROFESA LIPUMBA, MAGDALENA SAKAYA NA WENGINE TISA

PROFESA LIPUMBABaraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama cha Civic United Front-CUF, limemsimamisha uanachama kwa mda, aliyekuwa Mwenyekiti wa chamahicho, Profesa Ibrahim Liupumba kwa madai ya kukisaliti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKRANI ZA FAMILIA YA MAREHEMU MOHAMED MTATURU MKONONGO

Mohamed Jumanne Mtaturu MkonongoenziFamilia ya marehemu Mohamed Jumanne Mtaturu Mkonongo na mkewe Bi. Naiz Edriss Mavura pamoja na familia ya Mama Amina Mtaturu, Mheshimiwa DC Miraji Jumanne Mtaturu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MBARAWA: SERIKALI HAIKURUPUKA KUNUNUA NDEGE ZA BOMBADIER Q400

Profesa Makame MbarawaNa Abushehe Nondo na Sheila Simba.MAELEZOSerikali imesema kuwa iliamua kununua ndege mbili za abiria aina ya Bombadier Q400 kutoka nchini Canada kutokana na uhitaji wa huduma ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STDFAA WAMUOMBA WAZIRI NAPE KUHARAKISHA UKAMILISHWAJI WA SERA YA FILAMU HAPA...

Katibu wa STDFAA, Jafari Makatu akizungumzana waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mwenyekiti wa STFFAA, Ali Baucha na kushoto ni Mdhamini wa Chama hicho, Ahmed Olotu.Na Jacquline...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. MAGUFULI AWAALIKA WAWEKEZAJI WA CUBA KUJENGA VIWANDA VYA SUKARI NA DAWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaalika wafanyabiashara wa Cuba na Serikali ya nchi hiyo kuja hapa nchini kuwekeza katika uzalishaji wa sukari na kujenga viwanda vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MWANZA AJISALIMISHA CCM LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) ASEMA WAZEE WA CHAMA HICHO NI...

 Na Nassir Bakari 0713 311 300 Ile hali ya sintofahamu iliyoanza kujitokeza tangu tarehe 21/08/2016 kwenye ukumbi wa Blue Pearl , Ubungo Plaza, Dar es Salaam kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAAHIRISHA OPERESHENI UKUTA

 Na Nassir Bakari 0713 311 300 MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe mapema leo, ametangaza,  Chadema imeahirisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA ISIMILA LAIVA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WA NYUMBA KUMI WAJIUZURU CHAMAZI KUKWEPA KUCHONGANISHWA NA WANANCHI.

MOHAMMED GOMBELANa Nassir BakariWAJUMBE wawili wa nyumba kumi katika mtaa wa Msufini, Chamazi, Dar es Salaam, Mohammed Gombela na Biti Mzee, wamejiuzuru nyadhifa zao, kutokana na madai ya kukataa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA 36 WA SADC UMEMALIZIKA NA TANZANIA YATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini katika moja ya makubaliano yaliofanywa na nchi za SADC kwenye mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAM WALIOBOBEA KATIKA MASUALA YA KILIMO NA...

 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya Kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAKA AMSHAURI RAIS MAGUFULI KUACHANA NA CHADEMA, AENDELEE NA MIKAKATI YAKE...

Shaka Hamdu ShakaNa Mwandishi Wetu, DodomaUMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema  hakuna haja ya mazungumzo, majadiliano wala mijadala inayostahili kufanyika kati ya Serikali ya CCM na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA RAIS DK MAGUFULI PEMBA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo jioni akitokea kisiwani Pemba ambako aliweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGYFULI AZURU KABURI LA MZEE ABEID MANI KARUME,KISIWANDUI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Septemba, 2016 ameendelea na ziara yake Visiwani Zanzibar ambapo majira ya Asubuhi amezuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa...

View Article
Browsing all 20878 articles
Browse latest View live




Latest Images