KINANA AKAGUA LEO UKUMBI UTAKAOTUMIKA WAKATI WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM...
 Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi, Nape Nnauye na Msemaji Mkuu wa CC, Christopher Ole Sendeka wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili kukagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma...
View ArticleTUMEANZA UTEKELEZAJI WA ELIMU JUMUISHI-TANZANIA
Na Mwandishi Maalum Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza kwa namna moja ama nyingine utekelezaji wa lengo namba Nne  ya Maendeleo Endelevu kuhusu  Elimu la Maendeleo Endelevu (SDG4) kwa kutoa...
View ArticleTUMEANZA UTEKELEZAJI WA ELIMU JUMUISHI-TANZANIA
Na Mwandishi Maalum Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza kwa namna moja ama nyingine utekelezaji wa lengo namba Nne  ya Maendeleo Endelevu kuhusu  Elimu la Maendeleo Endelevu (SDG4) kwa kutoa...
View ArticleJK AONGOZA KAMATI KUU YA MWISHO CCM AKIWA MWENYEKITI WA CHAMA MJINI DODOMA LEO
 MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia vijana wa hamasa wa CCM alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kushiriki katika Kikao Cha Kamati Kuu...
View ArticleJK AKAGUA HALI YA UKUMBI UTAKAOTUMIKA WAKATI WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM...
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakata Kikwete alipowasili leo kukagua hali ya ukumbi wa mikutano wa Dodoma Convetion, ikiwa ni sehemu ya...
View ArticleRIPOTI YA 2014 KUHUSU UTAFITI WA UTUMIKISHWAJI WATOTO HADHARANI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Dkt. Abdallah Possi, (wapili kulia), Â akionyesha Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Utumikishwaji wa...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA, NI KIKAO CHAKE CHA MWISHO, WAJUMBE...
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuongoza Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuingia ukumbini, kwa ajili ya kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) leo katika ukumbi wa...
View ArticleHOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM, NDUGU JAKAYA KIKWETE, WAKATI WA MKUTANO MKUU WA...
Mwenyekiti wa CCM Â Jakaya Kikwete akihutubia katikaMkutano Mkuu wa CCM leo katika Ukumbi wa DodomaConvetion Centre. Ukiwa ni maalum kupitisha jina laRais Dk. Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya wa CCMHOTUBA...
View ArticleRAIS DK. MAGUFULI APITA KWA KISHINDO NA KUTAWAZWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM...
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete akimkabidhi moja ya vitendea kazi, Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ua Wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM, kumpitisha asilimia kwa mia ya...
View ArticleMSANII WOLPER ALIYEKUWA MPIGA DEBE WA LOWASSA 2015 ATIMKIA CCM
 Msanii Jacquiline Wolper (katikati) ambaye mwaka jana alikuwa mmoja wa wasanii wapiga debe wa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, akikaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman...
View ArticleJK AANDALIWA MAPOKEZI MAKUBWA BAGAMOYO
Na Richard Mwaikenda, DodomaMWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Jakaya Kikwete ameandaliwa mapokezi makubwa na wanaCCM wilayani Bagamoyo kesho baada ya kung'atuka wadhifa huo, kwenye...
View ArticleKATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM...
 Katibu wa NEC, Nape Nnauye akizungumza na watumishi wa CCM waliopo chini ya Idara yake, alipokutana nao leo Makamo Makuu ya CCM mjini Dodoma. Nape amewataka watumishi hao kuwa na mpango kazi na pia...
View ArticleCAG ASSAD AONGOZA KIKAO CHA 70 CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa, Prof. Mussa Assad akizungumza wakati wa hafla ya kuiaga Ofisi yaMkaguzina Mdhibiti wa Hesabu za Serikali yaUingereza ambaye amemaliza ujumbe wake...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA...
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasili ukumbini, kuzungumza na Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma, leo. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI AZUNGUMZANA WAFANYAKAZI WA MAKAO MAKUU...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuingia ukumbini kujitambulisha rasmi na kuzungumza na wafanyakazi wa kada mbalimbali wa Chama Cha...
View ArticleMWENYEKITIWA CCM RAIS DK. JO MAGUFULIANZA KUZUGUNZA WA WAYANKAYAZI WA CCM...
Mwenyekitib wa CCM Dk JohnMagufuli akizunguzana wafanyakazi wa CCM Makao Makiiu yaCCM mjiniDodoma leoMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John...
View ArticleMARAIS WASTAAFU NCHI ZA AFRIKA WAWASILI JIJINI DAR KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA...
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki (pichani kulia) akiwasili leo jijini Dar Es Salaam akiwa na Mwenyeji wake Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jana tarehe 27/7/2016 Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), walitoa kauli kwa Waandishi wa Habari kupitia Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Ndugu Freeman Mbowe (Mb). Tamko hilo kama ilivyo kawaida...
View ArticleWAZIRI NAPE AONGOZA KUUAGA MWILI WA MPIGAPICHA MKONGWE, JOSEPH SENGA LEO,...
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ambaye pia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo ameongoza kuuaga mwili wa Mpigapicha Mkuu...
View Article