MAMA SAMIA AFUNIKA KWA KAMPENI ZAKE ILEMELA NA NYAMAGANA MKOANI MWANZA LEO
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba,...
View ArticleKINANA AENDELEZA KAMPENI ZA NGUVU MKOANI KIGOMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Katanga,Kasulu mkoani Kigoma tayari kunadi sera za CCM kwa mwaka 2015-2020. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...
View ArticleMTEMVU AVUNA WANACHAMA 75 TOKA VYAMA VYA UPINZANI DAR ES SALAAM
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu, akizungumza na wananchi na wanachama wa chama hicho katika mkutano uliofanyika katika Kata ya Keko eneo la...
View ArticleMAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOA WA MWANZA NA KUANZA SHINYANGA KWA KISHINDO LEO
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Kivuko cha mv Misungwi, wakati akitoka Mwanza kwenda Sengerema mkoani humo, kuendelea na kampeni leo Mgombea Mwenza wa...
View ArticleMAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA...
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani...
View ArticleMAMA SAMIA TIA FORA MKUTANO WAKE WA KAMPENI GEITA VIJIJINI LEO
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananch baada ya uwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita...
View ArticleMAMA SAMIA AFUNIKA JIMBO LA GEITA MJINI LEO
Maelfu ya wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Geita mjini mkoani Geita leo Mgombea Mwenza wa...
View ArticleLINDI YASEMA YES KWA MAGUFULI
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo. Mgombea urais kupitia CCM Dk....
View ArticleNIMESTUKA WAWASTUA WAKAZI WA GEITA PAMOJA NA MAMA SAMIA
Wasnii wa Timu NIMESTUKA, Juma Nature, Inzpector Harun, Rich One na wengine wakiwaburudisha wananchi wa Geita.Wasnii wa Timu NIMESTUKA wakiwaburudisha wananchi wa Geita.Mchekeshaji, Mboto akizungumza...
View ArticleMAPITIO YA BAADHI YA MAGAZETI KATIKA TV KADHAA
Kutoka TBC: BOFYA HAPAKutoka Star Tv: BOFYA HAPA Kutoka Azam Tv: BOFYA HAPAkutoka Channel Ten:BOFYA HAPA
View ArticleDK MAGUFULI ASEMA BADO SIKU 12 KUWA RAIS WATANZANIA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi kuomba kura za ndiyo katika mkutano wa kampeni mjini Mkuranga, Pwani leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA NDANI YA MARA,AENDELEA KUUNGWA MKONO NA WATANZANIA
Baadhi ya mamia ya Wananchi wa Silali wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi.Mwigulu akiondoka eneo la mkutano la Silali Mjini.Mwigulu Nchemba akiwasili Rolya."Umoja ni Ushindi"MwanaCCM...
View ArticleMARAIS WA MAHAKAMA ZA KIMATAIFA ZA MAUAJI YA KIMBARI WAMPONGEA JK, TANZANIA...
Na Mwandishi Maalum, New York.Wakati majukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ( ICTR) yakifikia ukingoni mwishoni mwa mwaka huu, hatima ya wafungwa waliomaliza vifungo vyao na wale...
View ArticleDK MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA DAR
Mke wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Janeth Magufuli (kulia) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe.Mwantum Mahiza wakiwa wamemshikilia mke wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara marehemu Abdallah...
View ArticleMAGUFULI ALIVYOITIKISA PEMBA
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili kwenye uwanja...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBELEZAJI KWENYE MAZISHI YA DK.KIGODA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika...
View Article